Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Usajili mpya naona huyu ndio silaha ya Klopp kule Los Blonco.
Leo kacheza dakika 90..
YNWA
Safi kabisaKlopp kama Klopp anajua fika hii kazi ya Liverpool haiji mara mbili hivyo kaamua kutetea kibarua chake kwa njia nyingine kabisa.. Inapendeza.
View attachment 2530047
YNWA
Amekua punching bag ya waadishi wa habari huku Yankees wanakula pizza na mvinyo hukooo New World.. Sasa Klopp kashasema hataki ooh hatujaona wachezaji wa kununua hapana anasema kazi ianze sasa kufuatilia mapema wachezaji anasema mpaka June anataka kazi iwe imeisha... Kwa hio atawapa majina ya wachezaji anaowahitaji wao kazi yao ni kuleta ela za kununua na sio vinginevyo...Safi kabisa
Mzee baba wamekuachia Jukwaa peke yako? Naona mamluki wote wamekimbia njaaView attachment 2530104
Matokeo ndio kama ubao unavyosoma...
Hii ya leo ni pure chance lost kujisogeza Top 4 lakini Klopp kama mjuavyo hapangiwi.
YNWA


😂 😂 😂 😂 😂 😂 Nipo hapa Mkuu siedi kokote...Mzee baba wamekuachia Jukwaa peke yako? Naona mamluki wote wamekimbia njaa![]()
Everything is not workingView attachment 2530104
Matokeo ndio kama ubao unavyosoma...
Hii ya leo ni pure chance lost kujisogeza Top 4 lakini Klopp kama mjuavyo hapangiwi.
YNWA
Klopp also not helping himself upangaji wa kikosi sometimes anakua pasua sana...Everything is not working
Hawa wachezaji wamechoka wote
Hivu mkuu huyu Mount sio Jones aliechangamka. Sina imani na huyu dogo kutuletea mageuzi pale kati. Kingine bei yake huyu akiwa ni mjukuu wa malkia utasikia £60m sasa kwa kweli hana huo mpira.