Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain Marvelous kwema? Ile hoteli aliyowaambia klopp msha book tayari?

Yule kivuruge Saint Anne yupo kweli? Embu njoo ugonge hata like nijue bado uko hai sis.

choza choza nimeona unataka ulikimbie hili timu lako, hehehehee njoo pale city tu maana klopp & FSG are there to stay.
Mimi najipaje presha kwa ujinga wa watu wachache wasiotaka kutumia hela kusajili.
Tufungwe tu hivihivi.
 
Kuna vitu havitakiwi kutushangaza. Liva ikiwa inajihesabia ni bora kabisa ikapigwa 7 na Villa, so hizi 5 na mnavyotapatapa mi sioni kama tunatakiwa kushangaa
wachezaji waliopigwa saba walikuwa England na waliokuwa Bora walikuwa kwenye club world cup wakitafuta kombe kubwa na kuacha mbarara zitafute FA , Nikukumbushe Liverpool ilikuwa Bora sio ilijiita, jiulize kwa Liverpool hiyo team yako ata sare iliweza kupata ?
 
Itabidi atu refund hela zetu sisi tulio book hotel View attachment 2525922
Klopp is a confused fella... Anatia huruma hivi hata hakufanya homework yake vyema ajue kwa hawa Madrid aka nyeupe nyeupe hua hawana papara na hili kombe hata uwafunge ngap they won't panick kirahisi rahisi...

Haya mambo ya ku book hoteli kwa beki Gomez na MF Henderson tulidang'anywa aisee.. Mtihani sasa pale nyuma Gomez na VVD wana mikataba mirefu hivyo hata kuwatoa itakua ngumu sana... Ili tushindane upya hii timu inabidi ifumuliwe kuanzia pale kati na ukuta.

YNWA
 
wachezaji waliopigwa saba walikuwa England na waliokuwa Bora walikuwa kwenye club world cup wakitafuta kombe kubwa na kuacha mbarara zitafute FA , Nikukumbushe Liverpool ilikuwa Bora sio ilijiita, jiulize kwa Liverpool hiyo team yako ata sare iliweza kupata ?
Ila duh zama zile tulifaidi mno na kweli tulikua bora saba pale ilitakiwa kikosi kiimarishwa kwa smart buying lakini ma Yankees walipiga ela na kutulia kimya majuu huku Klopp akiachwa alete maajabu na sasa ameishiwa mbinu na wachezaji wameishiwa mbinu kimsingi we are done.

YNWA
 
Captain Marvelous kwema? Ile hoteli aliyowaambia klopp msha book tayari?

Yule kivuruge Saint Anne yupo kweli? Embu njoo ugonge hata like nijue bado uko hai sis.

choza choza nimeona unataka ulikimbie hili timu lako, hehehehee njoo pale city tu maana klopp & FSG are there to stay.
Klopp hamna kocha mule, hana mbinu zozote zaidi ya ku motivate wachezaji tuu
 
wachezaji waliopigwa saba walikuwa England na waliokuwa Bora walikuwa kwenye club world cup wakitafuta kombe kubwa na kuacha mbarara zitafute FA , Nikukumbushe Liverpool ilikuwa Bora sio ilijiita, jiulize kwa Liverpool hiyo team yako ata sare iliweza kupata ?
Umeandika vitu vingi kwa mara moja hadi sijakuelewa.

Kwa hiyo hiyo liverpool unayoisema timu yangu haikupata sare timu yangu ilichukua community shield kwa hiyo liva na hapo timu yangu ndiyo ilikua rock bottom
 
hii timu bana, safi sana,
klop kuna wakati anakua kama kachanganyikiwa, upo chini tena home unamwingiza milner?

anyway ndio uzuri wa kuwa bahili
Ama ni kweli Klopp hua na nuksi na msimu wa 7 kwa sababu kama jana aliingiza full kikosi na pia benchi lilikua limetulia hawezi kusema wala kusingizia chochote zaidi tumezidiwa kila mbinu...

La kujiuliza ni ushauri wa nani ulitumika kutoa mikataba mirefu kwa wachezaji wetu wenye miaka 30+ maana wamechoka karibu wote kasoro Allison tu ndio ana afadhali hawa wengine ilitakiwa tufuate wenzetu Manchester City, Chelsea wanavyotoa mikataba kwa wachezaji wa 30+ ambao hupewa mkataba wa mwaka mmoja na option ya mwingine mmoja ili kama atapoteana basi inakua ni msimu huo huo aafu unaofuata anaachiwa na kama amecheza vyema wanaongeza design kama Silva pale Chelsea wanavyompa.... Tume stuck na wazee Milner, VVD, Matip, Henderson, Firmino weka majeruhi Thiago, Ox, Keita, Konate utaona hii timu ina matatizo mengi sana kupata continuity uwanjani.

Eras come to an end.. Said one bald fella.

YNWA
 
Kuna vitu havitakiwi kutushangaza. Liva ikiwa inajihesabia ni bora kabisa ikapigwa 7 na Villa, so hizi 5 na mnavyotapatapa mi sioni kama tunatakiwa kushangaa
Liverpool hua wanajitapa kwamba European night pale Anfield hua ni moto fire hivyo kupigwa zile goli na muda wote kipindi cha pili kuonyesha tutaongezwa la 6 ilikua ni aibu kubwa sana...
Klopp na FSG wake itakua jambo njema tuishie nafasi ya nane huko ili iwe funzo kwao kwamba ni mpira pesa sio kubahatisha na bila Champions League sasa hao ma targets wao mbona itakua mtihani sana kuwavuta... Bota tukumbali maumivu ya muda mfupi bila kujenga msingi na tope aafu mvua ikinyesha tunaanza kukimbiana...

YNWA
 
🤣🤣🤣😝😝😝
Screenshot_20230222_134657_com.android.chrome_edit_293048896705283.jpg

Loading pale Stretford End.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom