Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Wachane bwana Chogo wamezoea sana kupewa maneno mazuri mazuri
YNWA
ni wabaguzi,Carragher mnafiki anamshambulia Van Dijk badala ya Muingereza mwenzake Gomez
mrembo upo?Mechi ijayo ikiwezekana amchezeshe huyo babu yake dakika zote 90 ili watuchape vizuri
nakumbuka hii game,View attachment 2526174
Nilikuwepo zama hizi hawa hawa Madrid wakipigika bila majibu ma kuwatup hukooo ...
Kutesa kwa zamu... Tuwe na subira muda wetu ukifika nasi tuta enjoi tu.
YNWA
wasipompa 200+ he should save his face and walk away.....View attachment 2526189
Haya sasa maneno yameanza Klopp anatimka zake...
Kwenu mashabiki mnataka aje nani pale kama kweli FSG wanamtoa kafara Klopp... Tetesi inasema ni kocha wa Bayern wanamtazamia aje kum ridhi Klopp.
Je ni propaganda za FSG kupima upepo ama kweli Klopp anajiuzulu lol yetu macho tumo kusubiri.
YNWA
Mnyama milner yeye anayo mingapi?
Timu zote za epl (kasoro city) kwenye first leg zimetia aibu matakataka wakubwa. Ngojeni wababe wa soka leo tuwaonyeshe mpira wa uefa unavyochezwa, Si unatujua vizuri ambavyo hatuna mbambamba.Mimi najipaje presha kwa ujinga wa watu wachache wasiotaka kutumia hela kusajili.
Tufungwe tu hivihivi.
Uwe unampa Saint Anne nondo kama hizi aelewe hii season ilishaisha sasa imejirudia tena kwa kasi kali sanaaa...nakumbuka hii game,
1st leg pale madrid benayoun alitupia goli tukashinda 1-0,
return leg ndio fernando akafanya yake,
same week manure akala 4....
weird enough that season tulitoka mikono mitupu, droo na arsenal anfiled (asharvin 4), westham uptorn park, plus nyingine nimesahau zikatukosesha ubingwa wa epl......
that season niliumia sana,...... na kilichotokea msimu uliofuata (09-10) ndio hiki kinachotukuta sasa,.... benitéz akaishia kuondoka,
Huyu mlimtuma kwetu aje kutuvuruga ukute bado mnalipa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnyama milner yeye anayo mingapi?
Yankees wanamuuza Salah eti £50m baada ya hapo usishangae Diaz, Jota au Nunez mmoja wao nae akawekwa sokoni...wasipompa 200+ he should save his face and walk away.....
what awaits lfc chini ya fsg ni majanga, they wont giv him 150 let alone 200+, ni mabahili yale.... never trust the yanks
Khvicha Kvaratskhelia ndio jina lake ana mguu wa kushoto wa kutisha sana.. Raisi wa Napoli kasema dogo hauzwa lakini anaweza kubadili msimamo ikija ofa ya kusisimua...huyu mwamba ana Quality ya ki mancity kabisa , sijui kama next window watamuacha....liver tuendelee na wachezaji wakuunga unga tu.
![]()
Captain Marvelous kwema? Ile hoteli aliyowaambia klopp msha book tayari?
Yule kivuruge Saint Anne yupo kweli? Embu njoo ugonge hata like nijue bado uko hai sis.
choza choza nimeona unataka ulikimbie hili timu lako, hehehehee njoo pale city tu maana klopp & FSG are there to stay.


