Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
HahahaahHuyu mlimtuma kwetu aje kutuvuruga ukute bado mnalipa
kwamba masheikh wamepenyeza pandikizi.
HahahaahHuyu mlimtuma kwetu aje kutuvuruga ukute bado mnalipa
Mnyama milner yeye anayo mingapi?


jinga lile linacheza lafu na huwa likiingia halikosi yellow card 
ni mara chache sana.Huyu mlimtuma kwetu aje kutuvuruga ukute bado mnalipa
YNWA




kabisa
Madrid walikuwaga "wachumba " Tu kwetu...those days
Carra alimponda Gomez ndipo VVD akamjia juu na kusema carra asingeweza kupata namba kwenye kikosi hiki, ndipo jana Carra akakomenti kwamba kwa kiwango cha VVD hata namba ya vvd yeye anaweza kuichukuani wabaguzi,
alafu huyo cara anasema fsg hawana makosa
hii ishaisha aisee,Uwe unampa Saint Anne nondo kama hizi aelewe hii season ilishaisha sasa imejirudia tena kwa kasi kali sanaaa...
YNWA
Tuna kocha wa ajabu sana.Klopp alitoa hii ahadi akiwa kalewa jamani![]()
Klopp kawapa wachezaji nguvu kubwa sana kwamba VVD, Salah, Henderson, Robertson, Trent, Milner wakiwa ni wazima lazima wapangwe bila kukosa...Hii Timu kuna Watu wanakatwa pale
Klopp nina uhakika asilimia 100% hana akili 🚮🚮
Ukiangalia kwa makini unaona wazi kuwa ameshashindwa hajui afanye nini kabaki anakunywa pombe tu.
Muda wenu toka 2018 wanawabamiza tu😂😂😂View attachment 2526174
Nilikuwepo zama hizi hawa hawa Madrid wakipigika bila majibu ma kuwatup hukooo ...
Kutesa kwa zamu... Tuwe na subira muda wetu ukifika nasi tuta enjoi tu.
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 One day yes Chugga man.Muda wenu toka 2018 wanawabamiza tu😂😂😂
Carra alimponda Gomez ndipo VVD akamjia juu na kusema carra asingeweza kupata namba kwenye kikosi hiki, ndipo jana Carra akakomenti kwamba kwa kiwango cha VVD hata namba ya vvd yeye anaweza kuichukua
Kwahiyo hii suluhu ya 1:1 inatakiwa itufundishe nini juu ya soka we pimbi?Timu zote za epl (kasoro city) kwenye first leg zimetia aibu matakataka wakubwa. Ngojeni wababe wa soka leo tuwaonyeshe mpira wa uefa unavyochezwa, Si unatujua vizuri ambavyo hatuna mbambamba.