Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie ni wa kwetu tu, mutaenda mbele atua mbili mutarudi hatua tano nyuma 🤣🤣🤣
 
Ila jamaa amejua kuwanyoosha aisee


Chalii yangu kutoka kutamba majukwaani na kutuita matakataka

Sasahivi hata ile matakataka imepoteana
Mmekuwa matakataka wenyewe sasa[emoji23]
Dah acha tu yani saiv kama nimemwagiwa maji vile 😖😖😖
Sema tukirud aise mutatutambua..saiv adi jukwaa la arse8 na manjestaa aka manyumbuz nayapita kaa siyajui vile 😖😃😃😃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom