Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni muda timu inahitaji uvumilivu huku mashabiki wakihimiza FSG waiuze timu.

Binafsi nafikiri ni muda sahihi sana kwa FSG kuuza timu nzima, kwa sababh kadhaa;
Moja wametengeneza faida kubwa tayari na pili hawawezi biashara ya mpira kwa ilipofikia. Sera yao ya sell to buy haitowalipa tena, na wakiendelea labda wabadili mtazamo na sera zao vinginevyo nawaona wakija kupata hasara.
Kukosa nafasi ya CL ni downfall of income toward next season.
Kutolewa CL itafupisha idadi ya mechi (mapato yatapungua kwa malipo ya tiketi za uwanjani, na haki za matangazo).

Kutolewa Carabao tayari kuna pesa imepungua, FA hakujaeleweka bado plus EPL. Kwa sasa mvuto wa kutazamwa umepungua.

Huenda FSG wanavipengele vigumu kwenye mauzo ya timu, vinavyowapa ugumu investors kuichukua timu kwa uwazi. Klopp generated alot of money kwa namna ya ajabu, pesa imewakolea

YNWA.
 
😂 😂 😂 Kipara effect at full throttle
Screenshot_20230126_131058.jpg

YNWA
 
Reds, five players have expiring contracts at the end of the season:

Roberto Firmino
Naby Keita
Alex Oxlade-Chamberlain 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
James Milner 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Adrian

What would you do with each of them?

• Matheus Nunes
• Mason Mount
• Federico Chiesa
• Enzo Fernandez

Thoughts, Reds?
 
Release wakasake ugali kwingine, we need new identity if FSG or new owner can back Klopp
Hawa kuachiwa
Firmino
Keita
Milner
Adrian
Ox

Hawa ni kuuza tu
Matip.
Jones
Fabinho
Henderson

Hawa wa watolewe kwa mkopo
Fabio
Elliott
Mateusz Musialowski
Melkamu Frauendorf.

Wachezaji wa kununuliwa
Cb mmoja
MF watatu mmoja awe all round (HM, CM, RM)
Pesa ikibaki
Right winger
RB kwa kua huyu Ramsey hakai kupona aisee

YNWA
 
Miaka 5 ijayo hizi league zingine zisipobadilika katika kupata mapato zaidi, hazitoweza pigania mchezaj na team yoyote ya premier labda mchezaj mwenyewe atake.

Premier league wako katika league yao
Kila timu ya EPL itapata mgao wa pesa za TV £79million kwa miaka mitatu kuanzia 2022 mpaka 2025 na pia kila timu inapewa £5.6million

Kwa mfano Liverpool msimu uliopita tulimaliza nafasi ya 2 EPL hivyo mgao wa pesa za TV ilikua kama ifuatavyo kwa Liverpool
Equal share: £79m
Facility fees: £27.3m
Merit payment: £50.4m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £162.3m

Kwa kua Liverpool ni moja ya timu ambayo mechi zake zinaonyeshwa kwa wingi nje ya Uingereza utaona utofauti wao na Manchester City bingwa ni tofauti ndogo sana around 2m ya kipato cha Tv Rights

Kadri timu inavyomaliza nafasi za juu ndio na mgao unaongezeka zaidi, kingine ni kadri timu inavyopata kuonyesha mechi nyingi zaidi ina maana na mgao unakua zaidi

Kwa Europe sioni wakiwakamata EpL kwa kupata ma pesanya maan.

YNWA
 
Unatafuta ugomvi na kina Flano
😂😂😂😂😂 Wakagobane uwanjani huo ubingwa waupate watupishe...... Angalau ETG kaonyesha njia kwamba kujituma zaidi na mazoezini ndio njia pekee ya kurudisha makali...
Sancho tetesi anakula £350,00 kwa wiki na Antony anakula £200,000 kwa wiki akiwa hata assit kwa pamoja hawana 10 wala magoli 10 msimu wote huu.... huku ma dogo wapambanaji Bruno anakula £240,000 na Rashfod tetesi anakula £200,000k kwa wiki life is not fair kabisa ujue....

YNWA
 
Reds, five players have expiring contracts at the end of the season:

Roberto Firmino
Naby Keita
Alex Oxlade-Chamberlain 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
James Milner 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Adrian

What would you do with each of them?

• Matheus Nunes
• Mason Mount
• Federico Chiesa
• Enzo Fernandez

Thoughts, Reds?
Now that Juventus has been thrown hukoooo there is a chance for Chiesa kwa mauzo tofauti na zamani kwa ofa ya 40m Klopp can get his man...

Nunes eti Chelsea wanamtaka June 2023 meaning there will be a battle for his signature....

Mount not really huyu ni Jones akiechangamka.

Enzo hawaeleweki Benfica ni kama wanatega wafanye mnada June 2023 aisee...

Nunes,Chiesa naona wanatufaaaa.

YNWA
 
Kila timu ya EPL itapata mgao wa pesa za TV £79million kwa miaka mitatu kuanzia 2022 mpaka 2025 na pia kila timu inapewa £5.6million

Kwa mfano Liverpool msimu uliopita tulimaliza nafasi ya 2 EPL hivyo mgao wa pesa za TV ilikua kama ifuatavyo kwa Liverpool
Equal share: £79m
Facility fees: £27.3m
Merit payment: £50.4m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £162.3m

Kwa kua Liverpool ni moja ya timu ambayo mechi zake zinaonyeshwa kwa wingi nje ya Uingereza utaona utofauti wao na Manchester City bingwa ni tofauti ndogo sana around 2m ya kipato cha Tv Rights

Kadri timu inavyomaliza nafasi za juu ndio na mgao unaongezeka zaidi, kingine ni kadri timu inavyopata kuonyesha mechi nyingi zaidi ina maana na mgao unakua zaidi

Kwa Europe sioni wakiwakamata EpL kwa kupata ma pesanya maan.

YNWA
Team kama Bournmouth licha ya kuwa na wamiliki wapya leo hii wanashindania mchezaj na bingwa wa Italy

Ndio maana premier league club wenyewe kwa wenyewe kuuziana wachezaj wanakamuana.

Relegation team inapata hela nyingi kuliko bingwa wa baadhi ya league.

Ndio maana juve,madrid,barce wanataka superleague
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom