Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Keita will leave Liverpool for free in the summer. #lfc [football insider]

Jurgen Klopp was keen to keep Naby Keita at Anfield, however any new deal was reliant on the midfielder taking a pay cut due to his poor availability record, which led to talks breaking down, as per @footyinsider247
 
Hiki kikosi mababu wote waondolewe aisee.
Ni aibu🥺
Tukumbushane umri wa hiki kikosi
Milner 37 years
Henderson 32
Thiago 31 years
VVD 31 years
Fabinho 29 years
Salah 30 years
Firmino 31 years
Alisson 30 years
Robertson 28 years
Matip 31 years
Gomes 25 years
Konate 23 years
Keita 27 years 😂😂
Diaz 26 years
Cody 23 years
Trent 24 years
Elliott 19 years
Nunez 23 years
Jota 26 years
Tsimikas 26 years
Fabio 20 years
Ox 29 years
Jones 21 years
Ramsey 19 years
Adrian 36 years

Wachezaji wa team A 10 wapo na miaka 30 plus. Hii ni taa nyekudu balaa kwa wamiliki kuelewa ushindani wa EPL sasa umerejea juu baada ya corona hakuna tena mambo ya Liverpool na Manchester City kuwaburuza wengine yaaani kwa sasa hata ubingwa wa Ligi ni ngumu kutabiri utatua wapi.. Huku FSG wakitegemea miujiza ya Klopp ituvushe kama alivyo fanya miaka yote akiwa na hawa wachezaji wazee na waliochoka.. Mambo yamebadilika sana timu zimeshatujulia tusipewe muda wa kupumzika kwa kua wachezaji hawana tena ari basi tunalegea na vipigo chap.

We are in for a tough ride.

YNWA
 
🚨 NEW: There is no chance Jurgen Klopp will be sacked, despite Liverpool's dismal run of form of late. He remains the club's priority and there is an insistence that problems will be solved alongside him. #lfc [@FabrizioRomano]
 
They are too busy milking the club too much we have had enough of their nonsense

We cant afford that grief they cause we have have had enough those thirty years when we were cursed to not have our hands on even a single EPL championship
FSG have failed Klopp. Imagine a prime Klopp working for Roman at Chelsea lol they could have conquered to unprecedented levels man.

FSG have used Klopp to the fullest now muzee is out of ideas with current useless MF that can't beat anyone currently and too good we have January transfer to sort the area only for them to run away with the cheque book to Boston lol what's more can Klopp do than keep throwing same boys same tactics same answers same outcome.

FSG please go.

YNWA
 
Tukumbushane umri wa hiki kikosi
Milner 37 years
Henderson 32
Thiago 31 years
VVD 31 years
Fabinho 29 years
Salah 30 years
Firmino 31 years
Alisson 30 years
Robertson 28 years
Matip 31 years
Gomes 25 years
Konate 23 years
Keita 27 years 😂😂
Diaz 26 years
Cody 23 years
Trent 24 years
Elliott 19 years
Nunez 23 years
Jota 26 years
Tsimikas 26 years
Fabio 20 years
Ox 29 years
Jones 21 years
Ramsey 19 years
Adrian 36 years

Wachezaji wa team 10 wapo na miaka 30 plus. Hii ni taa nyekudu balaa kwa wamiliki kuelewa ushindani wa EPL sasa umerejea juu baada ya corona hakuna tena mambo ya Liverpool na Manchester City kuwaburuza wengine yaaani kwa sasa hata ubingwa wa Ligi ni ngumu kutabiri utatua wapi.. Huku FSG wakitegemea miujiza ya Klopp ituvushe kama alivyo fanya miaka yote akiwa na hawa wachezaji wazee na waliochoka.. Mambo yamebadilika sana timu zimeshatujulia tusipewe muda wa kupumzika kwa kua wachezaji hawana tena ari basi tunalegea na vipigo chap.

We are in for a tough ride.

YNWA
😂😂😂
Keita weka 40 bwana


Klopp naye amekariri akidhani tutapata Tena sandakalawe.
 
Klopp kawauza wamiliki kasema £45m ndio ilikua bajeti pekee dirisha hivyo klabu haina ela ya kuingia sokoni tena yaaani hata Klopp kasema bila ku pepesa maneno pesa haipo Yaaaaani tuna wamiliki wa ajabu sana. Yaaani pesa yote ya bajeti imekwenda kwa Cody sasa cha kujiuliza huyu Cody mbona hatumhitaji dirisha hili na wamemnunua wa nini kama pesa ilikua ni hio tu. Bure kabisa maamuzi ya ajabu kwa kua ela haipo hii ingewekezwa MF na sio pale mbele.

Hali iko wazi kwa sasa hatuna majeruhi MF wote ni wazima kabisa lakini mkuu umeona jana Klopp katoa kituko mfumo ulifeli 4 3 1 2 yaaani Thiago acheze 10 ilikua worst gamble jana..

Kwa kweli waadamane tu labda watatoa angalau pesa anunuliwe mchezaji mmoja box to box.

Suluhisho ni hii timu iuzwe tu hakuna namna... Natazama namna uongozi wa Chelsea wanavyompa sapoti amateur coach Potter sokoni huku wakiwa hata kombe la kahawa hawakashinda lakini haijawazuia kuingia sokoni kujenga kikosi tena ununuzi wa kimkakati wakitazama umri.. Liverpool we so doomed tuna pound for pound manager lakini wamiliki wameshindwa kabisa kumtumia vyema kuzoa makombe mengi kwa proper backing anavyohitaji Klopp.

#FSGOut

YNWA
Hichi kitu nilikisema kuwa klopp sio tatzo, tatzo ni hao FSG wanatuuza. Jamaa hatoi pesa kuingia sokoni ila wanataka kuvuna pesa.
 
😂😂😂
Keita weka 40 bwana


Klopp naye amekariri akidhani tutapata Tena sandakalawe.
😂😂😂😂😂Ukitaka kujua maajabu yapo ni pale unasoma eti Klopp alikomaa Keita apewe mkataba mpya jamani duniani wenye bahati wapo kama Henderson, Milner, Salah na sasa Keita...

Tazama stat za Kieta amesajiliwa mwaka 2018 na mpaka sasa amecheza mechi 122🙄🙄🤔🤔 tu Liverpool meaning muda mwingi yupo wodini anaumwo. Msimu huu hana hata goli hana assist.. Katika kipindi hicho cha misimu mitano Kieta ana goli 11 na assist 7 tu Liverpool, tukumbushane kwamba huyu dogo Klopp alimpa jezi namba 8 kwa kua alisema ni Midfielder mkamilifu hivyo tutegemee makubwa kutoka kwake.. Wote tunajua amefeli vimbaya sana.

Gini mpaka anaesepa zake alikua amecheza mechi 237 Liverpool akiwa na magoli 22 na assist 15 huku akiwa amecheza kwenye position sio yake muda mwingi..

YNWA
 
Huyu babu naye mvuta bangi tu.
Kukubaliana na wamiliki kwamba pesa hazipo ndio bangi zenyewe.
Waondoke wote,wakatafute sehemu nyingine watakayoendeleza kufanya upumbavu wao.
😂😂😂Babu babuka tangu aache kuvaa miwani amekua anaona maruerue mazoezini maana anachoona huko kwa hawa wachezaji akija kupanga kikosi tunachokiona uwanjani hakieleweki kabisa...

Muda utasema hii shoo shoo itaedelea mpaka lini...

Who will blink first Klopp or FSG.

Klopp too loyal kwa FSG
Klopp too loyal kwa wachezaji
Klopp sio brutal n lethal kudili na hawa wachezaji seniors.. Kwani Thiago na Henderson hata wakiwa wazima na wapo out of form hawawezi kukaa bench jamani.. Mbona hii ni rahisi sana tena sasa kuna sub 5 hivyo watatumika tu.

YNWA
 
Babu babuka tangu aache kuvaa miwani amekua anaona maruerue mazoezini maana anachoona huko kwa hawa wachezaji akija kupanga kikosi tunachokiona uwanjani hakieleweki kabisa...

Muda utasema hii shoo shoo itaedelea mpaka lini...

Who will blink first Klopp or FSG.

Klopp too loyal kwa FSG
Klopp too loyal kwa wachezaji
Klopp sio brutal n lethal kudili na hawa wachezaji seniors.. Kwani Thiago na Henderson hata wakiwa wazima na wapo out of form hawawezi kukaa bench jamani.. Mbona hii ni rahisi sana tena sasa kuna sub 5 hivyo watatumika tu.

YNWA
Hii timu hii
Bwana tupe faraja.
 
Arsenal naona anang'ara na vijana wake huko, tuje kwetu sasa klopp kakumbatia mizee wakati kunatim zinasajili vijana. Henderson, Milner na Keita out ikiwezekana FSG out sijui hawa FSG wamempa nn klopp maana sio kwakutetea ujinga.
Huyo Klopp na FSG lao moja.
Wote waondoke.
 
Tukumbushane umri wa hiki kikosi
Milner 37 years
Henderson 32
Thiago 31 years
VVD 31 years
Fabinho 29 years
Salah 30 years
Firmino 31 years
Alisson 30 years
Robertson 28 years
Matip 31 years
Gomes 25 years
Konate 23 years
Keita 27 years
Diaz 26 years
Cody 23 years
Trent 24 years
Elliott 19 years
Nunez 23 years
Jota 26 years
Tsimikas 26 years
Fabio 20 years
Ox 29 years
Jones 21 years
Ramsey 19 years
Adrian 36 years

Wachezaji wa team A 10 wapo na miaka 30 plus. Hii ni taa nyekudu balaa kwa wamiliki kuelewa ushindani wa EPL sasa umerejea juu baada ya corona hakuna tena mambo ya Liverpool na Manchester City kuwaburuza wengine yaaani kwa sasa hata ubingwa wa Ligi ni ngumu kutabiri utatua wapi.. Huku FSG wakitegemea miujiza ya Klopp ituvushe kama alivyo fanya miaka yote akiwa na hawa wachezaji wazee na waliochoka.. Mambo yamebadilika sana timu zimeshatujulia tusipewe muda wa kupumzika kwa kua wachezaji hawana tena ari basi tunalegea na vipigo chap.

We are in for a tough ride.

YNWA
Mwaka mmoja tuu umepita tangu
Tucheze fainali ya carabao
Fainali ya fa
Points 90+ epl
Miezi 8 tangu tucheze final champions league


Ina maana ndani ya mwaka tuu hii squad ndio imezeeka ghafla hivo?

Tatizo sio umri, labda fatique na tactics
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom