Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna changamoto kwenye namba, ufalme umetawala, Benchi tupu hakuna mtu wa kumchalenge Alison, VVD, Salah, na wengineo. Sajili wachezaji kama City au sisi tunavyofanya ili kuua kiburi.
Si unaoa yale matakata ya Chelsea yameanza kucheza vizuri baada ya kuona tajiri anasajili kama hana akili
Hapo ndo shida, wafalme ni wale wale hawagusiki
 
Screenshot_20230117_095201_com.android.chrome_edit_232650898520227.jpg


YNWA
 
Screenshot_20230117_102035_com.android.chrome_edit_235961128035347.jpg

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kutoka kucheza fainali 2 na mmoja akiwa ndio bingwa mtetezi wa World Club Cup na mwingine akiwa bingwa wa FA na Carabao na sasa wote wanapambana kubakia angalau top 10 jamani mbona maisha sio fair 😂😂😂

YNWA
 
Arsenal doing a Leicester au 2013/14 LFC.

City are in a bad patch now, so Arsenal cant afford to slip up NOW, atleast mpaka April, Pep will want to keep a 2 points gap kwasasa, ana 2 home games kabla game ya Arsenal Vs United on sunday, Arsenal wanatakiwa waombee City a-draw/kupoteza kwa spurs or Wolves, kama City akishinda his 2 games (Thursday & Sunday), then itakuwa ni chess move ya Pep, but no-matter matokeo ya aina yeyote ya City, Arsenal will need to beat United, because kama United wakishinda at Palace, na wakishinda at Emirate, watakuwa firm kwenye TITLE RACE, then naingalia Newcastle pia, wanaweza kuleta ugumu, but all in all, Arsenal wanatakiwa kuombea City a-slip zaidi, because they can afford a Title race na United.

Then Pep will target 2 games alizonazo na Arsenal, he will play for a draw at the Emirates, and go for a win at the Etihad, this is how he used to beat us kwenye title race.

So if, City win their next 2 games, na Arsenal wakipoteza/Draw na United, Pep atakuwa amefanikiwa, but kwa bad patch ya City now, i can see them waki-draw game moja, spurs or Wolves.


Arsenal needs a winger and a CM, this january.
Kaka mkubwa heshima yako, sisi Arsenal hatuna muda wa kuombea mwingine a-slip tunachotaka ni wao washinde mechi zao na sisi tushinde mechi zetu kisha tukutane May kwa mahesabu
 
We can only dream at Liverpool

Screenshot_20230117_103041_com.android.chrome_edit_237150660969541.jpg


In the meantime MF wetu wapo slow motion mode😂😂😂hawapeleki mashambulizi wala hawazuii mashambulizi..
We are damn cursed 🤬 yaaani timu imejaa ma babu babuka na hawana msaada kwa sasa...

As they say chenye mwanzo hakikosi mwisho too good mwisho wa hawa ma veteran umefika wakati timu inakwenda kuuzwa hivyo sitegemei kuona Klopp akaleta mahaba yake kwa underperforming players mapema sana waonyeshwa mlango hakuna tena mambo ya spending within the budget hatutaki kusikia blabla za Klopp...

Hii hali ukiitazama sana utaona Klopp kajiletea mwenyewe hii balaa yaaani alikomaa vipi Milner, Salah, Henderson wapewe nyongeza mikataba mipya aafu akawaacha Mane na Gini ambao kwanza kila msimu walicheza sio pungufu ya mechi 35+ za Epl na jumla hawakukosa mechi 50+ kwa msimu ukiweka humo International, EPL, Carabao, UCL na FA.
Yaaani kwa miaka yote hii Kieta hajaanza hata mechi 50 EPL na unasikia eti walitaka kumpa mkataba mpya jamani hivi vigezo gani vinatumika haswa ambazo Gini alikosa na hawa wengine wanavyo...

Klabu ipo hoi kwa kua na Meneja asiemsikivu

YNWA
 
Jurgen Klopp, is a very good human-being, a down-hearted person, kwa mtu yeyote yule ambaye ameishi naye, amefanya kazi naye au amekutana nae, am 100% sure ukimuuliza kuhusu Klopp, hatakuwa na jambo BAYA lolote lile kusema/kuongea kuhusu Klopp, thats how good of a human-being he is.

Its not bad, being a good person ni kitu kizuri sana, but weakness kubwa ya Klopp ni kushindwa kutenganisha his personality, as a normal person & as a football manager.


As a person, hata kwenye majukumu yetu ya kila siku, ili kuweza kufikia malengo yako na kuweza kuya-maintain, unahitaji kuwa a very sharp & good decision maker na zaidi unatakiwa kuwa ruthless katika kuondoa na kudhibiti vizingiti au changamoto ambazo zinaweza kukuzuia kutimiza au ku-maintain aina ya mafanikio unayohitaji.

As a club (LIVERPOOL FC), tumebahatika sana kuwa na coach kama Jurgen Klopp, personally i'd never asked for any other manager in the world, but again i've been asking myself a lot of questions lately, and as fans tunahitaji kuwa honest with ourselves, kwa kile kinachopitia LFC kwasasa, FSG wanabeba a lot of blame but you CANT EXCUSE KLOPP, hatakiwi kukwepa LAWAMA kabisa.

Our manager ana attachment issues, na hii yote inatokana na his good hearted & emotional personality, its no secret kuwa if it was up to him, wachezaji kama Emre Can, Coutinho, Gini, Takumi, Origi, Shaqiri, Mane etc, bado wangekuwepo at LFC, wachezaji wote hawa kwa namna moja ama nyingine waliamua kuondoka wenyewe, Takumi, Shaqiri, Origi wanted more game time, Emre & Coutinho wanted OUT, Mane had a better offer at Bayern, FSG refused to match it, Klopp had to choose between him & Salah, same kwa Gini, FSG refused to give him a 3 year-deal, and when FSG & Edwards wanted to do the same kwa Hendo, Klopp had to intervene, hakuwa tayari kuwapoteza both Gini & Hendo, wakati in reality ilikuwa ni muda muafaka wa kutowapa new contracts, because team ilikuwa inahitaji ku-evolve.

BUT, Klopp's emotional attachment got the best of him, and madhara yake tunayaona sasa, when it came down kwenye suala la ku-make sharp decision making & kuwa ruthless, his emotions couldnt allow it, he felt itakuwa so unfair kwa wachezaji wake, he felt kuwa atakuwa hatendi HAKI kwa kuwaondoa ana ku-freshen kikosi, he felt sorry for them, he felt kuwa atakuwa kama amewasaliti baada ya kuwa nao pamoja kwenye CL & PL winning years, na KUSAHAU kuwa theu were paid MILLIONS ku-deliver hizo trophies, it wasnt a CHARITY GAME, ilikuwa ni KAZI, ilikuwa ni WAJIBU wao ku-deliver, THUS rafiki yake, partner wake na mtu ambaye alishirikiana naye kuijenga LFC kuanzia chini (MICHAEL EDWARDS) alivyoona umefika muda wa kufanya MAAMUZI MAGUMU ya kukarabati kikosi, KLOPP akakosana nae, because he got too emational, na mpaka Edwards akaamua ku-resign, tukaishia kupoteza one of our biggest ASSET, kwasababu ya emotions, why Edwards abakie wakati Klopp bado anataka kubaki na kina Henderson, Milner, Ox, Adrian, Keita etc kwenye team?

Kama Henderson asingepewa ule mkataba, mwaka huu 2023 ndiyo angekuwa anaondoka. LFC, but instead tupo naye sana at the club na hamna chochote anacho-offer now, he's physically finished, Edwards, Graham (data guru) waliona hili, na ndiyo maana wakawa wanahitaji viungo wengine, but Klopp decided to keep him, with a BIG contract, matokeo ya ule mkataba tunayaona now.

Klopp wanted to give Keita a new contract, wanted to give Ox a new contract, Keita's camp rejected the offer because alitakiwa kukubali a pay cut, same kwa Ox, but in reality, these are players ambao hawakutakiwa kuwepo at LFC leo hii, i like KEITA a lot, na kila siku nitaumia kwa jinsi career yake ilivyoenda at the club, but hakutakiwa kuwepo at the club msimu huu.

Curtis Jones anafanya nini at LFC?, Nat anafanya nini at LFC? Milner, Henderson, Keita, Ox, Adrian wanafanya nini at LFC?

Henderson, Milner, Curtis, Keita, Ox, Arthur hao ni 6 MFs, jumlisha Thiago, Fabinho & Harvey, jumla tunakuwa na 8 MFs, but at what cost? 9 MFs na 90% ya MFs ni MIZIGO.

Lets say, Keita can be useful as he's better than those other 5 stooges, but he's getting benched for Henderson, for apparent no reason, Keita can provide more than Henderson now, but we are throwing games away because of emotional attachments.


Its 17th january na bado hakuna dalili ya kununua MF, Klopp bado anaamini his stooges can bail him out, we are getting humiliated week in, week out, because of our crap MF, but Klopp still thinks Henderson can win games for him, this is emotional blindness, World Class Coach hatakiwi kuwa hivi.

Kwenye kile presser huwa anasema transfer window siyo solution, then whats the solution? Curtis Jones? Arthur Melo? whats the solution? sticking with 433? whats the SOLUTION?


Again, a serious coach with a winning mentality, angekuwa active kwenye market now, anahangaika kutafuta 2 MFs, kama Caicedo ni too pricey (Bloom wants 75m), move on Khepren, Kone, Ugarte, Le Fee etc are out there for good and affordable, its not end of the world kama tutamkosa Caicedo, just get a new blood in, our MF is dead.

This is LFC, you cant throw a season away like that, you just cant, tuna-stuggle na Thiago on the pitch, imagine akiwa hayupo? na Klopp is playing him kila game, its just a matter of time kabla haja-breakdown, we need a young MF.

Sentimental blocks zinahitaji ku-stop, we need to be ruthless, Klopp needs to be ruthless, or we will get LEFT behind, AGAIN, and this time itakuwa ngumu sana kurudi at the top, because kama utani tu, Newcastle United wame-join the CHAIN.
Klopp on his days can make you dream n dare dream big but akiwa kwenye bad patch its real bad patch inakua like boys dont even do sessions betwee games like they sleep n wake up siku ya mechi... Yaaani unajiuliza what drills did they perform to prepare for Brighton game hakuna cha maana zaidi kua kuaibishwa na Mc Allister, Caiceido na Lallana without th3 guys sweating yaaani ilikua aibu kuangalia ile game.. We played like there is no MF... Sasa unaposikia Klopp anasema haingii sokoni aidha ni tactic kuzuia bei za wachezaji zisipandashwe akionekana kama yupo desperate ama la ni ngumu kumwelewa kabisa...

Actually tukumbushane Wards aliwasilisha majina yafuatayo June 2022 kwa Klopp Mathew Nunes, Enzo na Fabio Viera.. Kwa Fabio Viera kulikua na kipengele kwamba Porto watawapa Liverpool kipaumbele endapo tutamhitaji tena kwa bei powa chini ya £20m.. Enzo bei ilikua 12m mpaka £20m na wote hao Klopp akasema HAPANA kisa tu wamo ma veteran wake ambao alijua fika walifeli mpaka akapeleka ofa kwa Tchouameni ni kwa sababu alijua uwekezaji ulihitajika MF. Lakini Klopp huyu huyu January hii bado haoni kama anahitaji usajili wa MF jamani huyu mzee avae miwani tuwe pamoja.

Tumeipenda wenyewe

YNWA
 
Kaka mkubwa heshima yako, sisi Arsenal hatuna muda wa kuombea mwingine a-slip tunachotaka ni wao washinde mechi zao na sisi tushinde mechi zetu kisha tukutane May kwa mahesabu
Ubora pekee haukufanyi ushinde TITLE, unahitaji LUCKY, na a lot of good calls kwa upande wako.

Pep Guardiola, amekuwa akipigana vikumbo kwa Title Races katika maisha yake yote ya Ukocha (senior level), na pia at City ana wachezaji wa kutosha ambao wana uzoefu kwenye title race, so ni LAZIMA Arsenal atengeze a wider gap kama anataka kuwa 90% sure.

The night is still young, WC inadanganya watu, mzunguko wa pili wa EPL bado hata hujaanza, kuna 20 games to go, you cant allow City akusogelee kwa gap ya points 2-5, ni hatari, na pia United are a big threat now, game ya Sunday ni muhimu sana kwenu, mkipoteza, italeta taswira tofauti sana kwenye league.

So ni LAZIMA, uombee City a-slip up, same to United pia, maana United wakiwafunga Sunday, wanakuwa ni serious title contender, it takes few DRAWS kupoteza TITLE, na it takes few injuries kupoteza TITLE, so unahitaji LUCKY, we beat City to a title kwa kufanikiwa kutengeneza a very huge gap, na tulitumia bad patch yao vizuri, hizi title races zingine ambazo tuliacha watukaribie, zote tuliishia kupoteza, ndiyo maana unakuta unafika points 92-97, bila TITLE.

and kitu kingine, kama bad patch ya City itaendelea, United may fancy their chances, lazima watahisi wanaweza kuwamudu kwenye title race, hence ndiyo maana nasema ikitokea City akishida his 2 games now, na united wakawafunga, mtakuwa mnakaribisha pressure kubwa sana.

Newcastle pia, wakishinda this weekend, na bado hamjaenda St James Park, itakuwa ni presha pia kwa jicho la tatu, maana Howe nae ana outside chance, siiweki Newcastle kwenye title race, but ataleta ugumu sana, SANA. especially kwa form aliyonayo sahivi.

So, you NEED to beat Man United this sunday, na UOMBEE City a-drop points katika hizi games zake mbili.


Good Luck.
 
Klopp on his days can make you dream n dare dream big but akiwa kwenye bad patch its real bad patch inakua like boys dont even do sessions betwee games like they sleep n wake up siku ya mechi... Yaaani unajiuliza what drills did they perform to prepare for Brighton game hakuna cha maana zaidi kua kuaibishwa na Mc Allister, Caiceido na Lallana without th3 guys sweating yaaani ilikua aibu kuangalia ile game.. We played like there is no MF... Sasa unaposikia Klopp anasema haingii sokoni aidha ni tactic kuzuia bei za wachezaji zisipandashwe akionekana kama yupo desperate ama la ni ngumu kumwelewa kabisa...

Actually tukumbushane Wards aliwasilisha majina yafuatayo June 2022 kwa Klopp Mathew Nunes, Enzo na Fabio Viera.. Kwa Fabio Viera kulikua na kipengele kwamba Porto watawapa Liverpool kipaumbele endapo tutamhitaji tena kwa bei powa chini ya £20m.. Enzo bei ilikua 12m mpaka £20m na wote hao Klopp akasema HAPANA kisa tu wamo ma veteran wake ambao alijua fika walifeli mpaka akapeleka ofa kwa Tchouameni ni kwa sababu alijua uwekezaji ulihitajika MF. Lakini Klopp huyu huyu January hii bado haoni kama anahitaji usajili wa MF jamani huyu mzee avae miwani tuwe pamoja.

Tumeipenda wenyewe

YNWA
Tumechezea vichapo vingi this season, but ile game ya Brighton ilikuwa ni worst coached match chini ya Klopp.

sometimes, unaweza dhani kuwa players. have stopped playing for him, but playing Thiago as a 10, na kutaka Henderson aendelee ku-cover ground na ku-press kama zamani katika physical form aliyonayo sasa, huwezi kuwalaumu kabisa, hili suala ni la Klopp.

nakumbuka kuna game, Bajcetic alifanya aggresive interception, na Klopp akam-pump sana, sasa anataka kina Hendo, Thiago, Fabinho wafanye hivyo, hawawezi kwa sasa, Thiago is 31 na ni tempo setter/holding maestro, Fabinho is. 29 and you can see he's physically done kwenye 433, so as a coach, you need to come up with a plan, not trying to go toe to toe na teams ambazo zina young core & restless runners, kwenye game ya City he played a compact 442, na it worked, why going back to 433? its not working, hakuna runner kwenye MF, drop it, lazima Henderson awe kwenye starting 11? play 442, kuna Fabinho, Thiago, Keita & Elliot, ni wazuri kwenye 442, hatuna personell ya kucheza 433 now, hatuna legs kwenye MF.


au try hata 4231, Fabinho & Thiago kwenye pivot, Salah, Carvalho & Gakpo behind Nunez, whats the harm?

Back to 433, kina Nunes wakija in the summer, now its not the time for it.

nina uhakika, kama tukicheza 442 against Madrid, we will blow them away, maana Jota atakuwepo, he fits kwenye 442 like a glue.

But, Captain atakuwa tayari kuwa dropped? i hope embargo ya jana imetuonesha the new Klopp.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom