[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kujua maajabu yapo ni pale unasoma eti Klopp alikomaa Keita apewe mkataba mpya jamani duniani wenye bahati wapo kama Henderson, Milner, Salah na sasa Keita...
Tazama stat za Kieta amesajiliwa mwaka 2018 na mpaka sasa amecheza mechi 122[emoji849][emoji849][emoji848][emoji848] tu Liverpool meaning muda mwingi yupo wodini anaumwo. Msimu huu hana hata goli hana assist.. Katika kipindi hicho cha misimu mitano Kieta ana goli 11 na assist 7 tu Liverpool, tukumbushane kwamba huyu dogo Klopp alimpa jezi namba 8 kwa kua alisema ni Midfielder mkamilifu hivyo tutegemee makubwa kutoka kwake.. Wote tunajua amefeli vimbaya sana.
Gini mpaka anaesepa zake alikua amecheza mechi 237 Liverpool akiwa na magoli 22 na assist 15 huku akiwa amecheza kwenye position sio yake muda mwingi..
YNWA