Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230117_222217_com.android.chrome_edit_252795502171841.jpg


Salah, Henderson nk kwa benchi haijalishi matokeo lakini Klopp leo anataka ku prove hayupo supa loyal kwa senior players ambao wanaonyesha kwa sasa fatigue, loss of form, mentality n confidence low than ever.

YNWA
 
Screenshot_20230117_222917.jpg


Haya mambo jamani... Manchester City, Real Madrid na Liverpool wote wanaonyesha nia ya kumsajili Bellingham, ishu kuu hapa ni ikitokea ni mnada kama dogo hana release clause ya kueleweka kama Erling Haaland ikitokea hivyo basi itatugharimu mapema sana na swali itakua je kulikua na haja gani ya kusubiri dirisha mbili za usajili aafu outcome iwe vile. Wasiwasi wangu isije ikatokea kama Mbappe kwenda Real Madrid yaaani mambo haya hua hayana uhakika... Its done until its done.

YNWA
 
The day Henderson leaves this club, i'll buy countless burgers & drink myself to death.


Ameniumiza sana, 11 years and counting.


Klopp needs to PULL THE TRIGGER.
😁😁😁😁😁😁Henderson alone no way.... Henderson, Keita, Milner damn hawa are just chewing the payroll if come June 2023 they can walk will a happy man haha its would be Xmas comes early bro....

Lots of popcorn 🍿

YNWA
 
Namuona klopp akiwaza"milie new signing,elliot new signing"
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Soon Firmino usajili mpya, Jota usajili mpya na Diaz usajili mpya.... Duniani bahati hua zipo nyingi na Klopp ni bahati kubwa sana kwa FSG... Hivi najiuliza ingekua kocha wetu ni Conte ingekua aje😂😂😂maana yule mzee hua hana kupepesa maneno... Leo kasema uanze utaratibu wa wakurugenzi, ma dokta wawe wanatokea kuhojiwa na waadishi wa habari maana amechoka kuulizwa maswali yale kila sikua ya media 😂😂😂Yaaaaani mzee Conte hana muda wa kujibu maswali wakati idara zingine wametulia wanakula pop corn...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom