Jurgen Klopp, is a very good human-being, a down-hearted person, kwa mtu yeyote yule ambaye ameishi naye, amefanya kazi naye au amekutana nae, am 100% sure ukimuuliza kuhusu Klopp, hatakuwa na jambo BAYA lolote lile kusema/kuongea kuhusu Klopp, thats how good of a human-being he is.
Its not bad, being a good person ni kitu kizuri sana, but weakness kubwa ya Klopp ni kushindwa kutenganisha his personality, as a normal person & as a football manager.
As a person, hata kwenye majukumu yetu ya kila siku, ili kuweza kufikia malengo yako na kuweza kuya-maintain, unahitaji kuwa a very sharp & good decision maker na zaidi unatakiwa kuwa ruthless katika kuondoa na kudhibiti vizingiti au changamoto ambazo zinaweza kukuzuia kutimiza au ku-maintain aina ya mafanikio unayohitaji.
As a club (LIVERPOOL FC), tumebahatika sana kuwa na coach kama Jurgen Klopp, personally i'd never ask for any other manager in the world, but again i've been asking myself a lot of questions lately, and as fans tunahitaji kuwa honest with ourselves, kwa kile kinachopitia LFC kwasasa, FSG wanabeba a lot of blame but you CANT EXCUSE KLOPP, hatakiwi kukwepa LAWAMA kabisa.
Our manager ana attachment issues, na hii yote inatokana na his good hearted & emotional personality, its no secret kuwa if it was up to him, wachezaji kama Emre Can, Coutinho, Gini, Takumi, Origi, Shaqiri, Mane etc, bado wangekuwepo at LFC, wachezaji wote hawa kwa namna moja ama nyingine waliamua kuondoka wenyewe, Takumi, Shaqiri, Origi wanted more game time, Emre & Coutinho wanted OUT, Mane had a better offer at Bayern, FSG refused to match it, Klopp had to choose between him & Salah, same kwa Gini, FSG refused to give him a 3 year-deal, and when FSG & Edwards wanted to do the same kwa Hendo, Klopp had to intervene, hakuwa tayari kuwapoteza both Gini & Hendo, wakati in reality ilikuwa ni muda muafaka wa kutowapa new contracts, because team ilikuwa inahitaji ku-evolve.
BUT, Klopp's emotional attachment got the best of him, and madhara yake tunayaona sasa, when it came down kwenye suala la ku-make sharp decision making & kuwa ruthless, his emotions couldnt allow it, he felt itakuwa so unfair kwa wachezaji wake, he felt kuwa atakuwa hatendi HAKI kwa kuwaondoa na ku-freshen kikosi, he felt sorry for them, he felt kuwa atakuwa kama amewasaliti baada ya kuwa nao pamoja kwenye CL & PL winning years, na KUSAHAU kuwa they were paid MILLIONS ku-deliver hizo trophies, it wasnt a CHARITY GAME, ilikuwa ni KAZI, ilikuwa ni WAJIBU wao ku-deliver, THUS rafiki yake, partner wake na mtu ambaye alishirikiana naye kuijenga LFC kuanzia chini (MICHAEL EDWARDS) alivyoona umefika muda wa kufanya MAAMUZI MAGUMU ya kukarabati kikosi, KLOPP akakosana nae, because he got too emational, na mpaka Edwards akaamua ku-resign, tukaishia kupoteza one of our biggest ASSETS, kwasababu ya emotions, why Edwards abakie wakati Klopp bado anataka kubaki na kina Henderson, Milner, Ox, Adrian, Keita etc kwenye team?
Kama Henderson asingepewa ule mkataba, mwaka huu 2023 ndiyo angekuwa anaondoka LFC, but instead tupo naye sana at the club na hamna chochote anacho-offer now, he's physically finished, Edwards, Graham (data guru) waliona hili, na ndiyo maana wakawa wanahitaji viungo wengine, but Klopp decided to keep him, with a BIG contract, matokeo ya ule mkataba tunayaona now.
Klopp wanted to give Keita a new contract, wanted to give Ox a new contract, Keita's camp rejected the offer because alitakiwa kukubali a pay cut, same kwa Ox, but in reality, these are players ambao hawakutakiwa kuwepo at LFC leo hii, i like KEITA a lot, na kila siku nitaumia kwa jinsi career yake ilivyoenda at the club, but hakutakiwa kuwepo at the club msimu huu.
Curtis Jones anafanya nini at LFC?, Nat Phillips anafanya nini at LFC? Milner, Henderson, Keita, Ox, Adrian wanafanya nini at LFC?
Henderson, Milner, Curtis, Keita, Ox, Arthur hao ni 6 MFs, jumlisha Thiago, Fabinho & Harvey, jumla tunakuwa na 9 MFs, but at what cost? 9 MFs na 90% ya MFs ni MIZIGO.
Lets say, Keita can be useful as he's better than those other 5 stooges, but he's getting benched for Henderson, for apparent no reason, Keita can provide more than Henderson now, but we are throwing games away because of emotional attachments.
Its 17th january na bado hakuna dalili ya kununua MF, Klopp bado anaamini his stooges can bail him out, we are getting humiliated week in, week out, because of our crap MF, but Klopp still thinks Henderson can win games for him, this is emotional blindness, World Class Coach hatakiwi kuwa hivi.
Kwenye kila presser huwa anasema transfer window siyo solution, then whats the solution? Curtis Jones? Arthur Melo? whats the solution? sticking with 433? whats the SOLUTION?
Again, a serious coach with a winning mentality, angekuwa active kwenye market now, anahangaika kutafuta 2 MFs, kama Caicedo ni too pricey (Bloom wants 75m), move on Khepren, Kone, Ugarte, Le Fee etc are out there for good and affordable prices, its not the end of the world kama tutamkosa Caicedo, just get a new blood in, our MF is dead.
This is LFC, you cant throw a season away like that, you just cant, tuna-stuggle na Thiago on the pitch, imagine akiwa hayupo? na Klopp is playing him kila game, its just a matter of time kabla haja-breakdown, we need a young MF.
Sentimental blocks zinahitaji ku-stop, we need to be ruthless, Klopp needs to be ruthless, or we will get LEFT behind, AGAIN, and this time itakuwa ngumu sana kurudi at the top, because kama utani tu, Newcastle United wame-join the CHAIN.