Ubora pekee haukufanyi ushinde TITLE, unahitaji LUCKY, na a lot of good calls kwa upande wako.
Pep Guardiola, amekuwa akipigana vikumbo kwa Title Races katika maisha yake yote ya Ukocha (senior level), na pia at City ana wachezaji wa kutosha ambao wana uzoefu kwenye title race, so ni LAZIMA Arsenal atengeze a wider gap kama anataka kuwa 90% sure.
The night is still young, WC inadanganya watu, mzunguko wa pili wa EPL bado hata hujaanza, kuna 20 games to go, you cant allow City akusogelee kwa gap ya points 2-5, ni hatari, na pia United are a big threat now, game ya Sunday ni muhimu sana kwenu, mkipoteza, italeta taswira tofauti sana kwenye league.
So ni LAZIMA, uombee City a-slip up, same to United pia, maana United wakiwafunga Sunday, wanakuwa ni serious title contender, it takes few DRAWS kupoteza TITLE, na it takes few injuries kupoteza TITLE, so unahitaji LUCKY, we beat City to a title kwa kufanikiwa kutengeneza a very huge gap, na tulitumia bad patch yao vizuri, hizi title races zingine ambazo tuliacha watukaribie, zote tuliishia kupoteza, ndiyo maana unakuta unafika points 92-97, bila TITLE.
and kitu kingine, kama bad patch ya City itaendelea, United may fancy their chances, lazima watahisi wanaweza kuwamudu kwenye title race, hence ndiyo maana nasema ikitokea City akishida his 2 games now, na united wakawafunga, mtakuwa mnakaribisha pressure kubwa sana.
Newcastle pia, wakishinda this weekend, na bado hamjaenda St James Park, itakuwa ni presha pia kwa jicho la tatu, maana Howe nae ana outside chance, siiweki Newcastle kwenye title race, but ataleta ugumu sana, SANA. especially kwa form aliyonayo sahivi.
So, you NEED to beat Man United this sunday, na UOMBEE City a-drop points katika hizi games zake mbili.
Good Luck.