Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230106_225851_com.android.chrome_edit_943407248703961.jpg

Kuliko huyo Kolobali bora akacheze huyu Chugga man kwa kweli...

OllaChuga Oc kakamate namba.

YNWA
 
OllaChuga Oc fasta mkamalizane na Mrusi kimya kimya maana hii balaa ya majeruhi inahamia sasa kwa mashabiki mpaka kocha yaani😂😂😂😂 kuwa makini jamaa yangu tunakuhitaji ujue
Screenshot_20230106_121343_com.android.chrome_edit_992255077026715.jpg

YNWA
 
Wanaochangia Kwa kiasi kikubwa LIVERPOOL kuonekana haina kitu nai wafungaji wetu wenyewe ,

Kwa takwimu ya performance ya Liverpool kwasasa ni mbaya sana.

Na ukilinganisha safu ya ushambuliaji kutoka golikipa, Viungo na Washambuliaji unaona kabisa safu inayo fanya vibaya zaidi ni safu ya Ufungaji.

Ukiangalia kuna baadhi ya mechi unaona kabisa tunafika golini na uwezo wa kufunga una kuwepo kabisa yaani unakuta mtu anapiga nje au anapiga shuti jepesi na anakuwa amempa pasi golikipa na kudaka au wakati mwingine anakuwa anachelewesha tu mpira na kupokonywa.
Yote hayo Washambuliaji wanayafanya na tunaona lakini lawama zote zinaenda kwa Viungo.
Sasa hao viungo watakuwa Wanapambana kivipi? Wakati Washambuliaji nao pale mbele wa nafanya utumbo yaani hawafungi na wanakosa clearly chance nyingi tu.
Pamoja na kwamba Liverpool kwa sasa haipo kwenye ule ubora lakini kama Washambuliaji wenyewe wakiwa na uwezo wa kuweka mpira wavuni Katika zile chances wanazo tengezewa. Imagine hata katika chances 5 ambazo ni clear wakiweka kampani hata mipira mitatu tutaendelea kulilia asajiliwe Jude au Enzo?
Ni ngumu kuamini kwenye clearly chances 31 zote hakuna goal hata moja halafu chances zenyewe ni zile clear za kuweka mpira wavuni tu.

Tujiulize ni kwanini Klopp ananunua Washambuliaji na sio Viungo?

Ukiwa una macho ya mpira utagundua kazi wanayofanya viungo kwasasa ni ndogo ila kiuharisia kazi yao inatosha kutoa matokeo mazuri kabisa kama nafasi hizo hizo chache wanazotengeza zitafanyiwa kazi inavyotakiwa.
 
Upo sahihi kabisa tunafungwa magoli marahisi na tunashindwa kufunga magoli marahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom