Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,127
- 46,401
Nunes is a very good playerTunamsema sana Nunez, ila chelsea pale kuna beki wa Paund milioni 68[emoji1][emoji1][emoji1]
Mark kukurela
Hao jamaa wauzwe[emoji599] NEW: Following their recent reintegration back into the team, there is now a possibility Naby Keita and Alex Oxlade-Chamberlain could be offered contract extensions at Liverpool.
Nevertheless, Liverpool are keen to sign a midfielder this month, with Jurgen Klopp being a fan of Sofyan Amrabat in particular. #LFC [graeme bailey]
😂😂😂😂Tulobhwike Nkamu, tukuti ndagha Malafyale Gwamaka.
..
Liverpool tulipofikia, hata Ihefu ya kule kwetu inaweza kutufunga😂
Ndagha tulobhwike Nkamu, nungwe ulobhwike?
Mwaka umegeuka na Team yetu ndio hivyo, Tumeipenda wenyewe Nkamu acha tupambane nayo. Juzi rafiki yako Nunez kakutumia salamu 😊
Hakuna Cha bora wala nini😂😂😂😂
Tunatia huruma, ila bora sisi kidogo kuliko ndugu zetu wa darajani wao wanatia huruma zaidi.
Nunez pale Liverpool mmepigwa kwakweli ,mpira sio magoli TU,Nunes is a very good player
Check stats zake na za saka tu
Huyu Nunez kabla ya Ligi alikuwa anapambanishwa na HallandNunes is a very good player
Check stats zake na za saka tu
Checki stats zake na sakaNunez pale Liverpool mmepigwa kwakweli ,mpira sio magoli TU,
Nunez anakosa vitu vingi Sana
Halipo la Europa tu hapo 🤗🤗🤗
Milner ni boost?[emoji599] NEW: Cody Gakpo is not expected to start Liverpool’s important next game away at Brighton this Saturday as he continues his transition into his new team. #lfc [sussex world]
Meanwhile, in an injury boost for Liverpool, Jurgen Klopp is hoping to have James Milner and Roberto Firmino both back available for selection, as per @Sussex_World
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app