Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wolves kutusumbua hadi muda huu ni fedheha

Ona lingekuwa goli hili
IMG_20230108_003646_739.jpg
 
Itafutwe solution nzuri eneo la kiungo mbona dogo atatisha sana
Dirisha lipo wazi ngoja tusubiri Klopp atakuja na jibu gani..

Ishu bado Klopp akiulizwa niaje hii MF yako una mpango gani anajibu eti Mf is absolutely fine '... Unajiuliza fine ya kijeremani itakua ina maana gani maana hii MF is super dead no spark or fire kuzuia mashambulizi ama kupeleka mashambulizi.. Muda utasema dirisha hili atakuja na jibu lipi sokoni.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom