Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Luis Suarez: 9 goals in first 23 Liverpool games
Sadio Mane: 9 goals in first 23 Liverpool games
Darwin Nunez : 10 goals in first 23 Liverpool games

He'll only get better #LFC

Captain Marvelous bado watu hawana Imani a Nunez
😂 😂 😂 If Klopp says ni Yeye basi ni yeye tu hakuna namna... Klopp ana jicho la vipaji na akisema Nunez ni generation talent basi ifahamike hivyo hivyo na namba za magoli kama usemavyo za dogo zinaonekama kusapoti kauli ya Klopp.. Ni yeye tu.

Captain Chaos 🔥

YNWA
 
Klopp on Liverpool's midfield issues:

"It's all about the balance, not just one midfielder. The way we want to defend is clear. It works out most of the time but not always. That's why everyone knows Alisson is one of the best goalkeepers in the world." #lfc [lfc]

Klopp on Liverpool's midfield issues:

"It's a general problem, not a midfield problem. Defending starts upfront - if you don't defend there, then the midfield has no chance. The pitch is too big and the other teams are too good. But we've know that for a long time." #lfc [lfc]
 
Aise hiii timu munateseka sana adi nawaonea uruma. Mutaweza kumaliza top foo kweli nyie matakataka 😅😅😅
😂Hivi wewe una angalia Ligi ipi.
Chelsea mpo nafasi ya 10 msimamo wa Ligi mmeshinda gemu 1 katika michezo 8 na umechapwa mara 6 msimu huu..

Sasa hapo nani ana hali mbaya. Kimsingi upo karibu sana na anaeshika mkia Southampton mnaachana kwa pointi 13 tu, Arsenal anaeongoza ligi mna tofauti ya pointi 19..

Wewe njoo kwenye huu uzi kutoa stress zako lakini ukweli ni kwamba una hali mbaya sana pamoja na kununua wachezaji vile lakini bado umeporomoka kwa mwendo wa 4 G kutoka kushinda UCL, kuingia fainali 2 na kuchapwa na wanaojua na sasa umejenga kibanda msimamo pale kati basi ujue hatuchekani sana..

YNWA
 
Endeleeni tu na mapambio,kikundi chake cha kusifu.
Wakati mwingine malalamiko yako kuhusu Nunez huwa Yana akili sanaaaa nimewaza jambo hapa
Zama za kina Suarez tulikuwa ni middle table team

Zama za Mane tulikuwa tunajenga timu

Huyu Nunez inatakiwa awe anatupia migoli kama Haaland. Captain Marvelous inawezekana lawama za Saint Anne zina mashiko 😅😅😅😅
 
Klopp on Liverpool's midfield issues:

"It's all about the balance, not just one midfielder. The way we want to defend is clear. It works out most of the time but not always. That's why everyone knows Alisson is one of the best goalkeepers in the world." #lfc [lfc]

Klopp on Liverpool's midfield issues:

"It's a general problem, not a midfield problem. Defending starts upfront - if you don't defend there, then the midfield has no chance. The pitch is too big and the other teams are too good. But we've know that for a long time." #lfc [lfc]
😂 😂 😂 Klopp hio MF ikiguswa hua anatamani kukimbia media kama Mourinho aisee...

Yaaani alipo Henderson, Milner, Thiago Klopp hataki kabisa waguswe kabisa.

Watoe ela waache vimaneno vyao vyepesi vyepesi lakini watoe kwa hesabu kali sana sio kama Chelsea wananunuaaaa lakini wapo hukooo nafasi ya 10,hawapo Carabao na leo FA Kipara ana jambo lake😀...

YNWA
 
Wakati mwingine malalamiko yako kuhusu Nunez huwa Yana akili sanaaaa nimewaza jambo hapa
Zama za kina Suarez tulikuwa ni middle table team

Zama za Mane tulikuwa tunajenga timu

Huyu Nunez inatakiwa awe anatupia migoli kama Haaland. Captain Marvelous inawezekana lawama za Saint Anne zina mashiko 😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂Huyu Miss Liverpool ni wakala wa Mane awe na utulivu sasa ni wakati wa Nunez kimsingi dogo ingekua hapati hizo nafasi, hasumbui kutengenezea wengine, hapigi mashuti, hana mishe za vurugu pale mbele ningekua wa kwanza kusema tumepigwa ela hapa lakini kwa hii hii disjointed Liverpool anatupia kdhaa sasa jiulize siku ile flow ikirejea klabuni huyu mwamba atakua moto sana.. Amekuja Liverpool wakati kiwango chetu kimeshuka sana hivyo lawama zingine hazina mashiko..

Prime LIVERPOOL operating kwenye ile level tuliozoea mbona Saint Anne atasema nilikia nataniaga tu wala sikuumaanisha chochote kuhusu Nunez 😂😂😂

Ni suala la Muda. Nunez acheze kati tu sio kazi yake jama jana kwenda kusaka mipira huko pembeni yaaani atulie centa uone balaa.

Lakini Captain Marvelous nadhani Kinacho itajika ni consistency ya kufunga na kushinda na Sio kushinda tu kushinda Kwa magoli mengi Sio ushindi wa 0-1 1-2 ama 3-2 huu ushindi kwasasa hauhitajiki kinacho itajika ni 3-0 kosa kosa 3-1 Ama 4-1 au 4-0 Ndio Marengo na Ndio maana ukiangalia vizuri KLOPP kwasasa ana hitaji magoal zaidi sio kununua Viungo kama team Inge kua Ina funga Hizi kelele za kununua viungo zisinge kuwepo Kwenye msimu 2022/23 wachezaji wame kosa magoli mengi zaidi ni wachezaj wa Liverpool missing 15 Kwa 16 sijui kama sija kosea zote hizo ni magoal wame kosa na kuna wakat walikosa na ikawa sababu ya kupoteza match na tuka fungwa
 
Mimi sijawahi kumtilia shaka Nunez pamoja na mapungufu yake lakini nimekuwa nasema huyu kuna siku tutamtungia nyimbo sababu kipaji unakiona na tukumbuka ana miaka 23 ana safari ya kujifunza na kitu kizuri anajaribu tu haogopi na jana kafunga good goal. Kuna mengi yatakuja kutoka kwake ila kwa Mo nadhani tabia ya kukaa sana na mpira shida sana jana kuna nafasi kama mbili angeachia mpira haraka kwa Gapko labda angefunga. Klop lazima amuweke sawa ni team sio mchezaji mmoja mmoja.
 
Nunez wakati mwingine hapa alikosa eti hivi katika zile nafasi 15 alizo miss angepata hata nafasi 10 angekuwa na magoli mangapi mpaka sasa? Klopp keshasema tatizo sio Kiungo ila ni timu nzima.
IMG-20230108-WA0010.jpg
 
Lakini Captain Marvelous nadhani Kinacho itajika ni consistency ya kufunga na kushinda na Sio kushinda tu kushinda Kwa magoli mengi Sio ushindi wa 0-1 1-2 ama 3-2 huu ushindi kwasasa hauhitajiki kinacho itajika ni 3-0 kosa kosa 3-1 Ama 4-1 au 4-0 Ndio Marengo na Ndio maana ukiangalia vizuri KLOPP kwasasa ana hitaji magoal zaidi sio kununua Viungo kama team Inge kua Ina funga Hizi kelele za kununua viungo zisinge kuwepo Kwenye msimu 2022/23 wachezaji wame kosa magoli mengi zaidi ni wachezaj wa Liverpool missing 15 Kwa 16 sijui kama sija kosea zote hizo ni magoal wame kosa na kuna wakat walikosa na ikawa sababu ya kupoteza match na tuka fungwa
Mkuu kushinda mechi ni collective team work..

Liverpool tukicheza kama unit we are unstoppable lakini ikiwa katika idara zote 3 za team Defence, Mildfilder na Front kuna moja italegea basi hua tunateseka sana uwanjani na mechi za hivi karibuni umeona vs Leicester, vs Brentford hakika mateso yalikua mengi sana sababu hakuna idara ilikua accurate kwenye kuwajibika, ikitokea front yetu sio 1st line of defence basi ujue we will suffer kwa kua pale kati watapitwa kama wamesimama..
Ikitokea passing sio accurate basi ujue tutapoknywa mpira wachezaji wakiwa out of position utakuta muda huo Trent amesima akama Right winger na hapo hapo tunakwenda kushambuliwa itakua ngumu kwa Fabinho kusimama na tusipitwe.. That why unaona Klopp anakomaa kwamba timu ishajuliwa hii namna ya wapinzani kutuumiza, pass accuracy is the key to pin the opponent kwenye half yao na pia shooting accuracy ni muhimu sana ili kuua gemu pale tunapokua na chance ya kufunga, muda mwingi sasa we not being super clinical golini na hii inatuletea shinda kuua games inapobidi matokeo yake tunapigwa sisi..
Kingine ubinafsi wa Salah na Nunez hautusaidii maana kuna muda unaona chance ya kufunga lakini aliepo kwenye hio nafasi ananyimwa pasi na mwenzie anajaribu na kukosa kufunga all those chaces lost ni pigo kwetu.

Mpaka pale tuwe na proper working MF functioning properly iweze kupoza mashambulizi na iweze ku raise intensity ndio tutakua salama otherwise hizi lawama zitakua left n right.

Nunez is still a job in progress. Day by day he getting near n near his best. Its just a matter of time tuanze kusoma ubao magoli yake mtihani ni upande wa defence sasa kuzuia na kulinda ushindi wetu. Kwa sasa imekua kawaida sana sisi kutanguliwa kufungwo yaaani hakuna tena mshangao iwe ugenini au nyumbani timu zinakuja kwetu kama mvua haziogopi they get physical wanajua tutaachia tu.

YNWA
 
Mimi sijawahi kumtilia shaka Nunez pamoja na mapungufu yake lakini nimekuwa nasema huyu kuna siku tutamtungia nyimbo sababu kipaji unakiona na tukumbuka ana miaka 23 ana safari ya kujifunza na kitu kizuri anajaribu tu haogopi na jana kafunga good goal. Kuna mengi yatakuja kutoka kwake ila kwa Mo nadhani tabia ya kukaa sana na mpira shida sana jana kuna nafasi kama mbili angeachia mpira haraka kwa Gapko labda angefunga. Klop lazima amuweke sawa ni team sio mchezaji mmoja mmoja.
Haya mambo ya Salah yalikua yanamtia sana hasira Mane na kuna wakati mpaka unajiuliza hivi Klopp haya mambo hua anayakemea ama anayaacha hivi hivi maana yanajirudia mara kwa mara...

Ni kwamba bila Firmino kusimama pale kati false 9 na kua unselfish hua naona hata makombe tungekua nayo machache sana lakini dogo hajawai kukosa kutoa assist kwa Mane or Salah wafunge kama wapo position bora kumliko, huyu mwamba kama alivyosema Klopp siku moja.. "Firmino is the system.." na Klopp hakukosea kabisa..
Hawa wengine hua wanawaza sana individual glory kuliko team glory na hii ni tatizo kubwa sana.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom