Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pumbavu zake Faes, amebeti liver anashinda goli 3, hivyo kipindi cha pili liver wasipofunga atamalizia mwenyewe hilo goli halafu ataondoka uwanjani na mpira wake baada ya kupiga hatrick.
Kama Ntibazonkiza
 
If tunampata Enzo sidhan kama tutaenda kwa Jude tena, probably tutaenda kwa Koudao Kone au mid mwingine ambae price yake sio kubwa.
Kabisa ni ngumu sana kununua hawa wachezaji wote mwaka 2023 kwa pamoja hilo hata wakija wamiliki wapya ni ngumu sana...

Kwa kua idara ya scouting hua hawalali naamini majina yapo kwa Julian Ward na Gordon huku Klopp akipewa taarifa yanayojili.

Tukimpata hata Ambrat au Caiceido itakua dirisha lenye mafanikio.

YNWA
 
27 ya passport
Aafu unasoma eti Keita akikumbali kuongoza mkataba sasa Klopp anabadili ngia angani usajili wa MF😂😂😂unajiuliza je hivi ni Kieta huyu huyu ama kuna mwingine.

June January 2023 wafuatao Milner, Ox, Keita kama kuna ofa ama hata bure kwa kweli mlango upo wazi.

YNWA
 
Once upon time in Liverpool 😍 😍 😍
Screenshot_20221230_232500_com.android.chrome_edit_710316057400465.jpg


El Nino akiwa na Kapten Fantastic.

YNWA
 
Yaani kwa hayo magoli mpaka mashabiki wa liverpussy wenyewe wanaona aibu, wamegoma mpaka kucomments humu.

Ooya nyie matakata niko na dikshonari hapa nasubiria viingreza vya kumpongeza Fenesi (Faes) au unaweza muita Nyunyez wa Leincister.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom