United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
Steven Gerrard kweny ubora wake alitupiga kamba pale OT msimu wa 2008/2009 anakimbilia kwenye camera anapiga busu ubao unasoma united 1 livepoor 4 mamaye Ile mechi hadi Leo Huwa sisahau
Steven Gerrard kweny ubora wake alitupiga kamba pale OT msimu wa 2008/2009 anakimbilia kwenye camera anapiga busu ubao unasoma united 1 livepoor 4 mamaye Ile mechi hadi Leo Huwa sisahau
😂😂😂😂Ile clip Dstv wanayo mpaka leo. Ni proper Steve kwenye ubora wake.Steven Gerrard kweny ubora wake alitupiga kamba pale OT msimu wa 2008/2009 anakimbilia kwenye camera anapiga busu ubao unasoma united 1 livepoor 4 mamaye Ile mechi hadi Leo Huwa sisahau
Huyu dogo ,nikimpata daaah aiseee,ngoja nikae kimya kwanza
Aingie tu, maana kuna kibaba cha makamo kinazingua toka First halfView attachment 2463878
Barcelona walimtaka sana dogo akatuchagua sisi... Huyu ni kilaka haswa anacheza beki zote na MF zote.
What a talent we have here.
YNWA
Bila huyu hadi sasa hali ingekuwa tete
Mmeshindwa kufunga mpaka mnasaidiwa na mabeki wa timu pinzani. Ila makocha sijui huwa wana matatizo ya akili, kocha wa Spain alimuacha vipi huyu Thiago?
Mchakato unaedelea aisee. Ward timu ikiwa Dubai alikua kazini sana kuweka mambo kwenye mstari.Huyu dogo ,nikimpata daaah aiseee,ngoja nikae kimya kwanza
Kwangu ndie MOTM mpaka sasaBila huyu hadi sasa hali ingekuwa tete
Bila huyu hadi sasa hali ingekuwa tete