Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,457
- 32,892
π π π π π π π ππ π π π Haya si maneno yangu ndio hali ilivyo
YNWA
bora hata Cody ananguvu bado ya kuangalia..ππππππππππππππ
View attachment 2463888
Cody akitazama tunavyokoswakoswa ππππ
YNWA
Kipindi cha kwanza ilikua aibu pale kati palikatika balaa ni ushahidi tosha hawa MF waliopo Liverpool ni mzigo sana sana Captainbora hata Cody ananguvu bado ya kuangalia..
Kipindi cha kwanza ilikua aibu pale kati palikatika balaa ni ushahidi tosha hawa MF waliopo Liverpool ni mzigo sana sana Captain
YNWA
Muhimu 3 pointsKibahasha kilitembea
Rekodi ya Leicester michezo ya ugenini ndio bora EPL msimu huu mpaka sasa, usiwachukulie powa.Leicester wasumbufuu, ila tutambue uwepo wa Faes.. sio kwa pressure ile dahh
Muhimu 3 pointsMmeshinda bila kufunga goli
Mmefungiwa magoli. Sio nzuri kabisa
Nunez anapaiza tu hata akiwa na goli.
π€£π€£π€£π€£π€£ ka assist assist kidgoKumbe manunu alishangilia gol la faes na hamsem[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2463896
Weee sema kweliKiuhalisi boko ni mkali kuliko Nunez
[emoji849][emoji849][emoji849] kweli uchawi upo.Muhimu 3 points
[emoji1787]ah wap,macho yake yakogo kwenye komwe yule anaona gol lipo juu mda wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ka assist assist kidgo
Mmeshinda bila kufunga goli
Mmefungiwa magoli. Sio nzuri kabisa
Nunez anapaiza tu hata akiwa na goli.
π€£π€£π€£π€£π€£ ka assist assist kidgo