Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Huyu Execute kajipinga Jf juzi sisi wakongwe kidogo tunajua tabia ya uzi wa Arsenal toka zamani wo wanaongoza kwa matusi na lugha za hovyo..3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa Matusi na lugha chafu, mashabiki wao wengi ni wale watoto waliokosa malezi ya pande mbili, members wake wengi ni wale watoto waliolelewa na single mother bila kusahau pia wengi wao ni madereva wa bodaboda hali inayopelekea bomba la matusi muda wote kua wazi, tena zilivyo Nyani hua zinatukanana zenyewe kwa zenyewe.

Utajinyonga mwaka huu kuona Golikipa Allison anaisaidia timu yake kutwaa kombe.
Ngoja akina Magwaya wakate mauno kusindikiza wenzao![]()




Tabia nimeziona kwenye haya majukwaa na hata siku moja sijaona watu wa arsenal wakitukanana.



kweli mtu akipenda, chongo huita kengeza.
Uko dunia gan boss?? Henderson a mm keshatokaHivi tokea Henderson na England yake watolewe World Cup nyie Liverpussy mna mchezaji yoyote kweli aliebakia Qatar?
Good news hiiNaona liver tumekubaliana usajili wa awali juu ya kiungo wa argentina na benfica enzo fernandez
EXCLUSIVE 



Jizime tu data huku sisi tunakwenda kunyanyua kwanza na Konate wetuHivi tokea Henderson na England yake watolewe World Cup nyie Liverpussy mna mchezaji yoyote kweli aliebakia Qatar?
Hakuna Mkoloni wala Upinde yoyote atakaebeba hilo kombe.Jizime tu data huku sisi tunakwenda kunyanyua kwanza na Konate wetu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
