Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Habari safi sana homeboy kaula fresh kabisa...
All the best kwake kwa chapter mpya ya maisha yake.
YNWA
Mungu mkubwaWaende bhana bill za mshahara ipumue kidogoView attachment 2432847
Jude Bellingham
Moses Caisedo .
Mo Kudus
Cody gakpo..
Halafu mwisho Utasikia Milner ame extend contract





😂😂😂😂😂😂Yaaaaani wachezaji wa nne kwa FSG 🤓🤓🤓labda aje mwarabu chap sana.New owner takeover itatupa clear pics ya tuendapo.
Kama tutafanikiwa kumpata
Kudus
Gakpo
Belligham
Caiceido
Basi tutapata kujua jamaa wanaoichukua timu ni jamaa wa sports.
Bado tunaomba tuondoke mikononi mwa Americans.
Wapewe hata hii January hakuna haja ya kusubiri hio June kwa kweli ili wapishe payroll ipumue maana wanatuwekea tu usiku na wapo hoi sana.Waende bhana bill za mshahara ipumue kidogoView attachment 2432847
Utakaangwa shauri yako, €100m NunezBora kuuza Nunez na kusajili Kudus
Sasa wana Liverfool kwenye thread ya WC unataka waende wakamshangilie Manunu?
Utajinyonga mwaka huu kuona Golikipa Allison anaisaidia timu yake kutwaa kombe.Sasa wana Liverfool kwenye thread ya WC unataka waende wakamshangilie Manunu?
Nyie kwe Wc ya msimu huu ni kama wajane tu.
Sanasana kwenye Wc mnaenda kuunguza nafsi zenu mnapowaona wachezaji wa Man United jinsi wanavyotakata.
Nawashaauri mashabiki wa liverkisheti mbaki kushangilia Ihefu Fc huenda mkafarijika.
Taja mchezaji wa Liverpool ambaye kashafunga goli au kutoa assit ,au hata kupiga pass 45 uwanjani wc



Allison anapo muweka benchi Ederson inatosha kwetuTaja mchezaji wa Liverpool ambaye kashafunga goli au kutoa assit ,au hata kupiga pass 45 uwanjani wc![]()
Ederson Jana kacheza vzuri ,tegemea kumuona next game...Allison anapo muweka benchi Ederson inatosha kwetu
Endelea kuota...Ederson Jana kacheza vzuri ,tegemea kumuona next game...
Na wakati amechomeaha timu imepoteza points.Ederson Jana kacheza vzuri ,tegemea kumuona next game...
Your Handsome Joel Matip

My Super tall handsome Man Matip JoelYour Handsome Joel Matip![]()
