United wana auction property yao kwa 6-7bn (per various reports) this is absurd, YES ni one of the worlds biggest brands, if not the biggest ukizingatia number yao ya fanbase world-wide, and on paper inaweza inaonekana ni sehem nzuri sana ya kuwekeza, but 6-7bn ina factor deni kubwa walilonalo? , uwekezaji mkubwa unaotakiwa kufanyika on the pitch?, uwekezaji mkubwa unaotakiwa kufanyika off the pitch kuhusiana na kufanya new developments kwenye uwanja wa OT ambao unahitaji big money kuurudisha katika hali ya kisasa?
United were sanctioning big & hefty signings kama za kina Ronaldo through loans, paying Ronaldo close to £500k per week, bila CL football na kipindi ambacho una-struggle ku-win big trophies, ilikuwa ni bad move/idea
And, sometimes its so hard, kwa Club kama United, kuscrap kila kitu na kuanza from the scratch, kwasababu ya fans ku-demand big signings kila kukicha na protests za kila mara, muda mwingi sana uongozi unakuwa underpressure na kushindwa kufanya sound & profitable decisions, most of the big signings za United zilizofanyika baada ya Fergie kuondoka ni panic buys.
OGS was not an elite manager, but nilishawahi kusema he was trying to build his team and backbone, well maybe isingekuwa ni elite team but kama usipokuwa biased ungeona from a far, signing ya Ronaldo ndiyo iliharibu everything, United fans will never agree to this, but OGS had to change his style, his ball movement application from the middle/wide areas ili kum-fit Ronaldo, and it backfired, whilst Ronaldo alinufaika as he was scoring goals here and there, but the whole team ilipata setbacks, ndiyo maana alivyokuja kocha mwenye guts ETH, aliamua kumuweka pembeni, and United fans around the world wanatakiwa kuwa na shukrani sana kwa ETH maana hii ni turning point kwao, he will build something special at United and itachukua muda, but you can see his vision, Ronaldo kaishia kujipiga mwenyewe kwenye mguu kwa ile interview ya Piers Morgan, ana-protect sana ego yake kuliko maslahi ya team, huwezi kuona elite coaches wakiwa na mchezaji wa namna hii, kina Klopp, Pep, Mourinho, Carlo etc, wanaweza kukuvumilia ukiwa on your 20s na unabang in goals, but siyo at 37 na ukiwa umeisha kabisa kimpira, hakuna kocha mwenye akili timamu anaweza ku-build his team around a 37 year-old player, At PSG team imetengenezwa around Mbappe japokuwa Messi na Neymar wapo pale, sasa ETH ana young & hungry players kwenye team yake hawezi kutengeneza his team around Ronaldo, you just cant blame him.
So, new owners wa United (kama wakifanikiwa kuuza), watakuwa na kazi kubwa sana, na sidhani kama kuna buyer atajitokeza wa kununua club kwa 6-7bn, thats too much, labda tu Glazers waamue ku-settle kwenye upande wa kuuza a minor stake, but buying the whole club will be tough kwa hiyo price tag.
FSG walianza na 5bn, but now wame-settle kwenye 3bn, na kama. waarabu wasingebid, nadhani wangeshuka tena, rumuors ni kubwa waarabu wameongeza pesa kiasi kwenye hiyo 3bn, so wameenda beyond na the actual price ili kuepusha ushindani.
FSG bought LFC for £300m back in 2010, 12 years later wanauza kwa 3bn+, huge profit margin.
New owners wanakuta club ikiwa na very limited loan, new stands, new training facilities, good pitch, Nike deal (though kuna rumours kuwa Adidas wanaweza wakapata hii deal kama waarabu waki-take over), Axa deal, various business partneship deals, huge fanbase worldwide, World class coach, world. class players, CL & PL winners & HENDERSON nearing closer to his exist.