Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤣🤣🤣🤣
Hivi hamjakazoea kaputin tu🤣🤣🤣
Kazi yake ni kukorofusha kila jukwaa
Halafu timu itakayopeeform vizuri hiyohiyo ndio anashabikia🤣🤣🤣🤣

Nina experience na watu wenye tabia za kuandika matusi au kutukana mitandaoni, matatizo yao huwa yana vyanzo vyake. ikiwemo
1. enzi za utoto alikuwa anageuzwa kichekesho labda alikuwa mnene au mwembamba sana, alikuwa na muonekano mbaya Meno, masikio pua au mdomo hivyo watu walikuwa wamemfanya kichekesho
2. wazazi wakali sana na wenye upendeleo kwa watoto
3. kutopata upendo au zawadi kutoka kwa mzazi hii huleta tabia kama hizi za kutukana
4. malezi ya mzazi mmoja n.k hizo zote ni sababu huwa zinapelekea hata mtu akiwa mtu mzima huwa na tabia za ajabu ikiwemo ukorofi, kutukana sana mitaani au mitandaoni
 
Nadhani huwa anafanya tu kama utani,nothing serious.
 
Nyie matakataka kipa lenu limeshindwa kuwa shujaa. Bado uefa tunalisubiri tulitoboe
Kwani Senegal kipa wao nani.

Penati hazina mwenyewe.

Naona Darajani pamekucha hongera sana kupata jembe la kazi Christopher Nkunku pale umepata mchezaji endapo atatumika vyema.

YNWA
 
Luis Diaz has suffered an injury setback and has left the #LFC training camp in Dubai. He hasn't featured for the Reds since suffering a knee problem in the 3-2 Premier League defeat at Arsenal on October 9

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Tetesi ni kwamba atakua nje msimu wote huu hili ni pigo kubwa sana kwetu kwani hata mfumo na upana wa kikosi utatugharimu kuisaka Big 4 na kumalizana na Los Blonco...

Alikua ameanza mazoezi mandogo akasikia maumivu kwa mbali sana hivyo Klopp wakashauriana asiedelee na mazoezi mpaka apate scan majibu yalivyotoka ndio ikaonenkana shinda ipo kubwa.

Hakika may he get better.

YNWA
 
Mlitamani kombe LA dunia liende mpaka mwakani hehehehe........ndoige imerudi ni mwendo wa kupokea za USO tu kama kawaida yenu
 
Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi. Natanguliza shukrani.
1671425067574.png
 
Miss Liverpool sasa hivi umehamia kwa huyu Chotara wa Ki Zimbabwe kwa Matip umeshakata tamaa?
Huyu mtoto wa 98 sasa nampeleka wapi??
Mdogo kwangu
2020 kabla sijahamia kwa Matip nilikuwa namzimikia sana huyu mtoto acha kabisa,
Nilikuwa nambadilisha tu kwenye wallpaper yangu ya simu,hadi avatar nishamuweka huyu mtoto.

Sasahivi nimejikita tu na Matip,nimpate nisimpate,iwe Mvua iwe jua.
Our handsome Matip

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Baba yake Neymar wa sasa hivi kampita umri mpaka Neymar mwenyewe ujue 😂😂😂😂
 
Baba yake Neymar wa sasa hivi kampita umri mpaka Neymar mwenyewe ujue 😂😂😂😂
Khaaa😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Au na mimi nikomae na dogo?
Aisee kipindi kile ningekuwa nashinda sana humu ndani ningemuomba connection MosDef .
Nilikuwa nampenda huyu mtoto acheni tu.
Familia Yao mahandsome hatari,,Kuna kakake mwingine wanayefatana yaani Mungu fundi.

Tujikite tu Kwa Joel..
MosDef tenda muujiza kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom