The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Jude middle...Cody strikerIna maana Jude basi tena? View attachment 2438006
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Jude middle...Cody strikerIna maana Jude basi tena? View attachment 2438006
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hivi Captain Marvelous amemuona le Captain?

Wanasema ili ubora wa Jude Belligham uonekane lazima patina wake pale kati awe Le Captain wetu, 😂😂😂....Hivi Captain Marvelous amemuona le Captain?
Bahati ilikuwa upande wake.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mambo yake ni bambamWanasema ili ubora wa Jude Belligham uonekane lazima patina wake pale kati awe Le Captain wetu, 😂😂😂....
Le Captain kwa sasa hakamatiki.
YNWA
Le Captain ni leader of men hahaah wampashe tuuu sie tumetulia na pop cornMambo yake ni bambam
Ila Captain wetu huwa ana mchango,basi tu ni vile huwa haonekani.
Le Captain ni leader of men hahaah wampashe tuuu sie tumetulia na pop corn
YNWA

Zifahamu tabia za thread za timu mbalimbali.
1. Manchester United hawa mashabiki wao asilimia kubwa wanaongelea usajili wa mchezaji fulani ukifanyika basi timu yao itakuwa bora. Hii ni trend toka aondoke Ferguson. Bahati mbaya wamesajili sana makocha na wachezaji lakini msiba haujaisha.
2. Manchester city wao ni mashabiki oyaoya, hawaujui mpira bali ni kelele nyingi kwasababu Guardiola anawapa mafanikio. Wengi wao ni wahanga kutoka klabu mbalimbali ambazo hazifanyi vizuri.
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa uchambuzi wa mpira unaochezwa ndani ya uwanja. Wataalamu wote wa uchambuzi wa soka wapo pale. Pia ndio wanaongoza kupokea kejeli kutokana na kutofanya vizuri kwa misimu mingi ikiwemo kutobeba UCL wala Europa.
4. Chelsea wao thread yao imepambwa na malalamiko. Jamaa kila siku wako na lalamiko jipya. Kwa miaka kumi wamebeba karibu makombe yote makubwa lakini malalamiko hayaishi. Watamlaumu kocha, mmiliki, usajili m-bovu na hata timu pinzani.
5. Liverpool kwenye uzi wao utakuta wanaandika komenti ndefu sana lakini hamna cha maana zaidi ya kuwaongelea FSG, kiburi cha Klopp na majeruhi ya wachezaji. Wachambuzi wao wanapenda pia kutumia viingereza na huwa wanapotea kila timu inapofungwa na kurudi wakishinda.
Soon utasikia aongezwe mkataba huyu na kwa FSG walivyo kupenda short cut utasikia yupo mpaka 2027...
Nilijikuta nashangilia kuona jamaa le capten anatutoa kimasomaso Kwa kuanza kupachika goli moja zuri sana
Nikasema ni yeye kweli??
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa Matusi na lugha chafu, mashabiki wao wengi ni wale watoto waliokosa malezi ya pande mbili, members wake wengi ni wale watoto waliolelewa na single mother bila kusahau pia wengi wao ni madereva wa bodaboda hali inayopelekea bomba la matusi muda wote kua wazi, tena zilivyo Nyani hua zinatukanana zenyewe kwa zenyewe.Zifahamu tabia za thread za timu mbalimbali.
1. Manchester United hawa mashabiki wao asilimia kubwa wanaongelea usajili wa mchezaji fulani ukifanyika basi timu yao itakuwa bora. Hii ni trend toka aondoke Ferguson. Bahati mbaya wamesajili sana makocha na wachezaji lakini msiba haujaisha.
2. Manchester city wao ni mashabiki oyaoya, hawaujui mpira bali ni kelele nyingi kwasababu Guardiola anawapa mafanikio. Wengi wao ni wahanga kutoka klabu mbalimbali ambazo hazifanyi vizuri.
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa uchambuzi wa mpira unaochezwa ndani ya uwanja. Wataalamu wote wa uchambuzi wa soka wapo pale. Pia ndio wanaongoza kupokea kejeli kutokana na kutofanya vizuri kwa misimu mingi ikiwemo kutobeba UCL wala Europa.
4. Chelsea wao thread yao imepambwa na malalamiko. Jamaa kila siku wako na lalamiko jipya. Kwa miaka kumi wamebeba karibu makombe yote makubwa lakini malalamiko hayaishi. Watamlaumu kocha, mmiliki, usajili m-bovu na hata timu pinzani.
5. Liverpool kwenye uzi wao utakuta wanaandika komenti ndefu sana lakini hamna cha maana zaidi ya kuwaongelea FSG, kiburi cha Klopp na majeruhi ya wachezaji. Wachambuzi wao wanapenda pia kutumia viingereza na huwa wanapotea kila timu inapofungwa na kurudi wakishinda.
Klopp doesn't have the balls to bench VVD, he will find excuses after excuses. He will never outcast his darling players.Tangu Epl isimame kupisha kombe la Dunia nimekua mara kwa mara natazama YouTube mechi zetu za msimu huu tulizocheza na kwa kweli ipo shinda kuu naiona japo wengi tumekomaa na kwamba pale MF lazima tununue nimegudua kwamba bwana kisiki wetu VVD kiwango kimeshuka sana yaaani huyu msimu ujao atakua ni shinda zaidi kwetu na baada ya kujiridhisha VVD kiwango kinaelekea Kusini, upo uwezekano pia Klopp aombe usajili wa beki mmoja wa kati kwa kua huwezi kuwategemea Konate na Matip.
Mambo si mambo
YNWA
WeuweeeeImagineView attachment 2439855View attachment 2439856
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

Aisee Msomali wako naona kaweka pozi la kupigia selfie muombe Captain aongee na Mos Def ili upate namba ya Matip umpigie hata Video call

Kabisa YaaniAisee Msomali wako naona kaweka pozi la kupigia selfie muombe Captain aongee na Mos Def ili upate namba ya Matip umpigie hata Video call![]()
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

Nipo na Mikel Arteta pale arsenal.Wewe mshabiki wa timu gani?