Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Klopp kunakoelekea atadhalilika tu
Timu apewe Steve G
Timu apewe Steve G
Labda ile ya SolskjaerMan u anaenda mwaka wa 6 bila taji lolote ,Kuna dalili wakagonga miaka 10 bila taji lolote
Klopp kunakoelekea atadhalilika tu
Timu apewe Steve G
Real Madrid Vs Liverpool,,,, possible draw round of 16 CL .....
Captain Justine Mimi naona hii tuzo wala haina maana kabisa yaani ina maana anakuwa huru na matokeo ya aina yoyote hata kama atakuwa anapigwa 5-0Klopp has awarded FREEDOM OF THE CITY OF LIVERPOOL.
Anastahili.

Hawa hata wagonge miaka 20 ni powa sana... Upepo ulishabadilika sasa hakuna cha Man U bingwa wenyewe wamepoa kabisa wanaisaka kwa nguvu big 4 yaaani maisha yanabadilikaga chap sanani ngumu kuamini kwamba leo hii Manchester United wanapambana play off ya Europa... Siwacheki maana na sisi hali tunayokwena nayo hiana utulivu aisee Klopp na vijana wana kibarua kigumu sana.Man u anaenda mwaka wa 6 bila taji lolote ,Kuna dalili wakagonga miaka 10 bila taji lolote
Kwasasa Ukweli Ni kwamba Man u ,Arsenal hazipo mbali kurudi kwenye ushindan haswa wakiungana na city , man u sababu ya pesa Wana madirisha mawili watakuwa washindani haswa.Hawa hata wagonge miaka 20 ni powa sana... Upepo ulishabadilika sasa hakuna cha Man U bingwa wenyewe wamepoa kabisa wanaisaka kwa nguvu big 4 yaaani maisha yanabadilikaga chap sanani ngumu kuamini kwamba leo hii Manchester United wanapambana play off ya Europa... Siwacheki maana na sisi hali tunayokwena nayo hiana utulivu aisee Klopp na vijana wana kibarua kigumu sana.
YNWA
Ubishi wa Klopp ambae hataki kuambiwa timu imejaa wazee na wagonjwa ndio imetufikisha hapa.Kwasasa Ukweli Ni kwamba Man u ,Arsenal hazipo mbali kurudi kwenye ushindan haswa wakiungana na city , man u sababu ya pesa Wana madirisha mawili watakuwa washindani haswa.
Chelsea nao haitawachukua muda, ila nionavyo project za Arsenal na man u zipo karibu kushindana Kama zaman miaka ya 2000s,
Liverpool mnahitaji reshuffle ya Hali ya juu, most of players wenu Ni 29yrs na kuendelea
Mnahitaji ujenzi mpya
Man u anaenda mwaka wa 6 bila taji lolote ,Kuna dalili wakagonga miaka 10 bila taji lolote


punguza ushirikina kijanaKama libabu Milner na Handerson hawataondoka basi naye abaki.View attachment 2407696
Mnasema aje Bobby apewe mkataba au asepe zake bure June 2023.
Binafsi nasema asepe tupate damu changa kwa kua tuna wenye wanaomini kikosi kiduchu bora na ma dead woods kibao hivyo kwa mshahara wa Bobby bora asepe hio nafasi yake aje below 27 dogo aamshe mambo.. Somebody like Trosard au Nkunku.
YNWA