Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Nikalale
Mechi gani unaangalia?Ona haya majinga yalisharuhusu tumefungwa
Hata Gerrard
Kuwa kwake far ahead kunatusaidia nini kama tunafungwa kila siku?

Hili jamaa ni vile halifungi linakaba lina distribute mpira ndo MOTM wangu leo
nawaambia wamekwisha sintoangalia mechi mtanshtua mda wa kunyanyua makwapa
Nilichanganya matokeo na ya Rangers vs AjaxMechi gani unaangalia?
Watupe Porto ndio timu yetu ya bahati. Tukikutana nao lazima twende final. Na tena this final iko INSTABULSalah top scorer huko Cl..
Nunez on score sheet we won 2-0. The pride of Anfield.
Huko EPL tunapwaya ila huku Cl we will try our best level.
The Last Time Salah scored against Napoli, Liverpool went on to win the UEFA Champions league.
YNWA
Hivi kati ya sisi unyumbuni na hapo kwenu liverp*umbu nani kapitia kipindi kigumu?Kutesa kwa zamu... Yaaani msimu haujaisha ila hii timu inatuhenyesha balaa.
Najiuliza haya mateso jamaa zetu mliweza kuishi nayo tangu miaka hiooooooo.... mpaka sasa angalau Arsenal na Manchester United mashabiki hata vibada umiza wamerejea kwa fujo kali sana.
Kucheka kwa zamu.
Tutarejea ni lini hata sijui aisee kwa sasa mtucheke, mtufunge hakuna namna upepo ndio huu huu.
YNWA
Sie haya tulizoea yakaisha tangu Klopp ametua na sasa yamerudi tena... Sasa nyie kwa miaka yote ya Fergie mlizoea ma good times alivyochomoka mnateseka haswa na bado hamsomeki.Hivi kati ya sisi unyumbuni na hapo kwenu liverp*umbu nani kapitia kipindi kigumu?
Dokta naona vijana wamekupa good times jana.Tumecheza vizuri Sana
Liverpool ni team nzuri ikicheza kwa unity sio kutegemea individual brilliant
Individual brilliant tunazitegemea baadae Sana
Kikubwa ni kwamba mtu asifanye mistake za kipumbavu na watu wakabe kwa usahihi kama leo trent amementain position yake leo aisee
Asilimia kubwa ya mashambulizi kayaanzisha from back hajapanda mbele Sana kama siku zote
Konate ni mtu
Fabinho nimemuona fabinho naemjua sasa watu wamelala na viatu ni kulamba buti tu
Bob ame loss Sana mipira nahisi ni uchovu wake umeanza
Salah, mudi mudi tu mpemba yuko fit
Thiago no caption kanichambulia watu pale katikati aiseeHili jamaa ni vile halifungi linakaba lina distribute mpira ndo MOTM wangu leo
Tukipita robo final basi imekwisha wamekwishanawaambia wamekwisha sintoangalia mechi mtanshtua mda wa kunyanyua makwapa
YNWA![]()
Naona mazoezini hua anavaa miwani.Yeye aliona kabisa wamechoka kwanini asikomae kubadili?
Kutobadili ndo kuchuja kwake sasa.
Man u anaenda mwaka wa 6 bila taji lolote ,Kuna dalili wakagonga miaka 10 bila taji loloteSie haya tulizoea yakaisha tangu Klopp ametua na sasa yamerudi tena... Sasa nyie kwa miaka yote ya Fergie mlizoea ma good times alivyochomoka mnateseka haswa na bado hamsomeki.
Naona kwa sasa nyie mnateseka.
YNWA
Huyu Baba sijui huwa anavuta bangi za wapiThis is Klopp in June-August. There is an elephant in the room who does what he only wantsView attachment 2405423View attachment 2405424