Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumemchoka sasahivi
Akapambane na jeuri yake kwake
Hahaha his German pride won't let him say i have seen enough...

Kuna mambo matatu hapa
1) wachezaji wamefika mwisho.
2) Klopp amefika mwisho.
3)👆 au yote kwa pamoja.

Kivyovyote vile we are screwed big time.

Klopp anajua lipo tatizo maana tofauti na msimu ulewa 2020 2021 tulipoteana na tulivyokwama kutetea ubingwa wetu kwa kua ma beki amateur(Kabak, Phillips nk) msimu huu sasa timu ipo kamili maana hata majeruhi wanaotajwa sio wote ma starter muda mwingi wakiwa wazima wa afya hivyo Klopp kikosi chake cha kwanza ni wazima wa afya asijifiche kwenye kichaka cha majeruhi. Pale tunawahitaji Diaz na Jota angalau hao wana impact kwa work rate matata kutoka kwao.

Wachezaji nguli VVD, Trent, Salah, Matip, Robertson wamechuja sana msimu huu maana hawa ni ma role model pale klabuni kwa kua na consistency kwa karibu miaka 5 wakiwa top level muda mwingi ndio maana leo hii wenyewe wapo kama ni kopi zao ndio wanacheza sasa.

YNWA
 
Yeye aliona kabisa wamechoka kwanini asikomae kubadili?
Kutobadili ndo kuchuja kwake sasa.
 
Napoli leo watawaoneeni huruma tu wala hapana shaka, but hatua ya 16 panapo vuja patazidi kuonekana muwe na usiku mzuri.
 
Klopp pamoja na wamiliki wametuangusha kutosajili wachezaji kwenye nafasi ya kiungo ambapo ndio Engine room,its a major failure
No VVD replacement
No Salah replacement
No TAA replacement

Calvin Ramsay ni mbadala wa TAA...shida majeruhi
 
P
Screenshot_20221101_223638_com.android.chrome_edit_258656409407406.jpg

Screenshot_20221101_223741_com.android.gallery3d_edit_258828530332380.jpg

YNWA
 
Napoli funga livapunyeto
Unawadhalilisha wazazi wako kwa kuandika uchafu kama huu halafu humu Kuna watu wenye heshima zao wanapita wanakuta umeandika lugha chafu badirika Kijana wewe ni Mzee wa baadae Anza kutengeneza hekima yako sasa. Though wapenzi wa huu uzi huwa Wana ignore watu kama nyie mnaopost maneno yasiyo kuwa na staha

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Sky Germany’s Florian Plettenberg reports that Klopp is completely secure at Liverpool and will not be sacked, nor will he resign despite a disappointing season so far.

Plettenberg claims that Liverpool want ‘top transfers’ next summer but a central midfielder is being targeted for January.

It’s worth adding here that Plettenberg was the journalist who broke Sadio Mane’s move to Bayern Munich.
Saint Anne

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom