Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kumbe jamaa anajua kutumia vizuri tafsidaNi aibu kubwa sana. Alivyotemwa kikosi cha kushiriki Uefa nilidhani Klopp kamwonea lakini kumbe nyuma ya pazia kuna mengi..
Msome Klopp hapa akitoa taarifa ya hali ya majeruhi hili la Keita anasema ni 'other things'
View attachment 2398655
YNWA



Hili sasa hivi limeshakua jukwaa la magonjwa ya zinaa.Siku ya leo huwezi waona wakikatisha vidomodomo Waja laana ya Uefa,akina Herzog
😂😂😂😂😂😂😂 Bhana kwa sasa tusahau yaliyopita..... Angalau jana ushindi tumepata na haoooo tumo raudi ya pili.Kumbe jamaa anajua kutumia vizuri tafsida![]()
🥂To us😂😂😂😂😂😂😂 Bhana kwa sasa tusahau yaliyopita..... Angalau jana ushindi tumepata na haoooo tumo raudi ya pili.
YNWA
🍻🍻🍻🍻🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 Job well done.🥂To us
Hili likeita lifukuzwe tu
Wachezaji wetu wasipojitoa ufahamu huwa wanaupiga mwingi🍻🍻🍻🍻🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 Job well done.
Kama wanadhani kuvuka hatua hii kuingia 16 bora waulize Barcelona msimu wa pili wanapoteana kwenye makundi ajabu sasa Barcelona walifanya bajeti ya kulipa mishahara kwa kujipangia eti watafika Semi au Kwota faino ni noma sana.
Cheers we have done this.. Next ni kuingia nane bora. Mara haooo fainali 😅😅😅
YNWA
View attachment 2399139View attachment 2399140
View attachment 2399138
Boy getting back the confidence
YNWA
Mo salah anzungumzwi lakini yupo
Niliuliza swali kwa jamaa yetu wa Anfield.
Kuna nini kwenye fitness magement ya timu,??
Majibu haya hapa
Club haina doctor, tangu Andy Massey aondoke at the Club, we havent hired another doctor.
Our Head of sport science, Phillip Jacobsen nae aliondoka.
Tuna fitness department, But Jacobsen & Andy helped us a lot kwenye suala la kupunguza/deal with injuries, though kazi ya club doctor siyo per-see kwenye ku-over see injuries, but Massey helped us a lot.
FSG, waliona kina Massey & Jacobsen ni surplus, baada ya kufanya cheap re-shuffle kwenye fitness department, so wakawaondoa kupunguza costs (no doubt about that), we have bad and tight owners.
And, now baada ya mambo kuwa magumu, they are interviewing doctors kwaajili ya ku-ajiri.
This is one of the richest club in the world, but our thought, Head of sport science and a club doctor werent needed ili ku-minmize matumizi.
Chelsea utamuweza wewe?Aisee tutue kwa Bayern ama PSG... Uefa hua hiana mwenyewe zaidi ya Real Madrid hawa wengine wanapogika tu
YNWA
Huku hamufiki popote nyie kuku. Bora mungeenda tu uko europa.
Huku sie na Madrid hua tuna jambo letu...Huku hamufiki popote nyie kuku. Bora mungeenda tu uko europa.