Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klop hawezitena kuikomboa hii timu imesharudi ilipotoka kuanzia 2016 kurudi chini
 
Hivi hii combination ya Salah Nunez inaleta balaa moja kwamba wote wanamuwaza Halaand na magoli yake matokeo yake wakifika mbele wanawaza kufunga tu hakuna kingine.

Klopp haya mambo hua anajifanya haoni lakini yanakukosesha magoli.

Hii ni EPL one chance one goal.

YNWA
Mkuu huyo mzee Hana jipya Tena he can't offer us anything

Hana mbinu tena washamjulia na NUNEZ n zigo la mavi Hilo n suala la muda TU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Utabiri wangu msimu huu endapo Klopp hataingia sokoni kununua dynamic flexible Midfielder... Na kama pia wengine watabakisha kikosi vyao vya sasa
1) Manchester City
2) Liverpool
3) Tottenham
4) Chelsea
5) Arsenal

Endapo Klopp akiingia sokoni
1) Liverpool
2) Manchester City
3)Tottenham
4)Chelsea

YNWA
Aseno will win this league Liverpool we are down
Finally
Klopp era imefika mwisho nlsema humu mkaniona chizi

YNWA.
 
Chelsea hawana UKIMA Kama wan Liverpool kumchekea kocha ndio maana inawachukua miaka 2 kupata kikombe Cha maana sababu kocha anayepewa timu anajua kwann yupo pale

Klopp n muda wa Sasa kufurushwa tunashukuru kwa makombe lakn kwa Sasa Hana uwezo Tena

Tusipokuwa makini tunarudi tulikotoka miaka 30 epl 1 muda ndio huu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nunez tuliwaambia toka preseason hamsikii ,mnadai Klopp anabadilishaga wachezaji average kuwa world class

Mbona alimshindwa Minamino


Nunez niliwawekea had takwimu zake humu amefluke msimu mmoja tu ,then kanunuliwa Liverpool kwa €80m Cha ajabu mnadai Klopp atamfanya awe hatari

Wakati Ni mbahatishaji

Kituko kingine mlidai atashindana na halland , Cha ajabu mnamfananisha na G.Jesus

Jesus hata Bei inambeba Ni £45m tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom