Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Napoli wametufanyia uhuni sana kwenye group stage, unexpected things. Tuwapige Anfield tuweke heshima
Napoli bwana msimu huu wanataka kwenda mbali sana ligi ya nyumbani na Uefa...

Khvicha Kvaratskhelia na Piotr Zielinski hawa wachezaji wawili itakua ngumu kubakia pale Stadio Maradona msimu ujao...

Huyo Khvicha tetesi ni kwamba Manchester City washaanza kutupia jicho la usajili.

YNWA
 
Kops Tunywe maji mengi . Advantage tulio nayo kwa sasa wachezaji wetu wengi sio regular starter kwenye vikosi vya mataifa yao though hii sio advantage kubwa sana.

YNWA.
Bhana hivi hata sijatazama kweli ma starters ni akina nani timu za Taifa..

Naona Alison, VVD, Nunez wamo kikosi cha kwanza kwa timu zao. Hawa wengine mhmh sina uhakika.

YNWA
 
Nyie livernyoko mtapigwa mpka mtachakaa Leeds United na Nottingham forest ni majirani
Mkipata hata draw mje na panga pale nimekaa
Vijana wa Leeds United muda huu wanakula karanga wabichi, mihogo wabichi na nazi wabichi wakishushia na supu ya pweza, ikifika saa kumi kamili wanapaka kabisa vumbi la Congo wakisubiria muda ufike.
Kaswende Fc kazi wanayo, leo lazima watolewe kizazi.
 
Cc OllaChuga Oc

Screenshot_20221029_190805.jpg


YNWA
 
Duh leo sijui wachezaji walishiba maharage.
Sema nini sisi tunataka uefa tu huu msimu ni we tu.
#CFC💙💙💙
Ndugu yangu hii EPL hua haina matokeo ya mfukoni, kamuulize Klopp yaliyomkuta pale Nottingham yaaani unavyoona pointi hizi hapa unashangaa kipigo hiki.

Poleni sana.. Uefa tunaitaka wote kila mmoja ashinde mechi zake.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom