Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

20518796-1e09-42c8-bd6b-f842e6d705ee.jpg
 
Haya ya Keita ndio yale ya Essien sishangai kwa wachezaji wa Kiafrika.....
Ni aibu kubwa sana. Alivyotemwa kikosi cha kushiriki Uefa nilidhani Klopp kamwonea lakini kumbe nyuma ya pazia kuna mengi..
Msome Klopp hapa akitoa taarifa ya hali ya majeruhi hili la Keita anasema ni 'other things' 😂😂😂😂
Screenshot_20221026_195425.jpg

YNWA
 
PSG.. MADRID... BAYERN... CLUB BRUGGE... Sporting..... KAMA TUKIPITIA KAMA NAMBA 2 MAKUNDI

Mkuu uefa hakuna janja janja,ukifanya janja janja mwisho wako inakuwa nusu fainali.

Kikubwa timu iwe vizuri kushinda tu na sio kusubiria mteremko.yoyote yule tukutane nae kama tuko vizuri tutaenda tu mbele na sio janja janja unataka upangiwe timu hazieleweki,ila nusu fainali ndio mwisho wa janja janja.
 
Tatizo timu yangu siku hizi ni kama mwezi mchanga. Utashangaa Leo tumeshinda then weekend na leeds majanga. Ndo maana naionea huruma bora ngekewa itudondokee Porto aongoze kundi watupe tutambae nae. Maana Porto ni njia panda ya fainali.
Maana kuongoza kundi ni mitihani kweli Napoli alishatupiga 4-1 Kwao. So kuwa piga nyingi sio kazi rahisi. Na Wana 15+ magoli sisi tuna 9. So inabidi tuwafunge kuanzia 3 bila na kuendelea. So tu jiandae tu kukutana na Akina Messi au mane na bayern yake. Hakuna namna au dodo litudondokee.
 
Aisee tutue kwa Bayern ama PSG... Uefa hua hiana mwenyewe zaidi ya Real Madrid hawa wengine wanapogika tu

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom