OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Keita majeruhi anapata wapi ujasiri wa kufanya ngono zembe🤣🤣🤣🤣Ila MosDef hii ishu ya Keita hilo gonjwa atakua kapewa na demu shabiki wa Chelsea tena ametumwo na OllaChuga Oc ili tuzidi kupoteana ili huyu Chugga man ateke huu uzi auteke na vimaneno vyake vya mkosaji...
Keita katutia aibu ya mwaka yaaani tuna hali mbaya hivi aafu anaedekeza gono zembe namna hii duuh kweli we are so doomed...
YNWA