Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tutasimama Tena vizuri muda upo bado
Fresh fresh Sana
YNWA
Safari bado ndefu lakini tumo tupo nyuma ya timu tumeipenda wenyewe hii hakuna namna kwa mara ya kwanza msimu hui nimeona Liverpool ninayoijua mimi...wachezaji jana hawakua wazitoooo aisee walikwenda na mpira muda wote walirejea nyuma kusaidia beki na hakuna hata kona au mpira wa adhabu ulileta hatari...

Hii performance ilihitajika kurudisha monster mentality klabuni...

Tupo nafasi ya 8 sasa. Tusonge mbele kuisaka big 5 aafu hio big 4 tutajua huko mbeleni.

Screenshot_20221017_070247_com.android.chrome_edit_107034735190958.jpg

YNWA
 
Sijasema mbovu nimesema ni mchezaji wa kawaida

Top player leo angeisaidia Liverpool kushinda hata Goli 4

Nafas ya 3vs 1 kaleta uchoyo

1vs 1 kachop kama Nchimbi

Ni mchezaji wa kawaida ,na hapo yupo sehemu wanayotengeneza chances kibao

Angekuwa man u tayari tungeshamuweka kundi la kina Sancho , Magwaya ,ambao Ni flop

Narudia Ni mchezaji wa kawaida ,
Kwahiyo Nunez tayar Ni flop..

Kwahiyo kusaidia Liverpool kushinda goli nyingi ameshindwa Halaand kuifunga Liver Mara 2 Sasa kwenye game muhimu na beki zilizochoka naye tumuite mchezaji wa kawaida !?

Kuna timu EPL inatengeneza chance nying za kufunga zaidi kila game zaidi ya Man City!?

Screenshot_20221017-071330_1.jpg
 
Safari bado ndefu lakini tumo tupo nyuma ya timu tumeipenda wenyewe hii hakuna namna kwa mara ya kwanza msimu hui nimeona Liverpool ninayoijua mimi...wachezaji jana hawakua wazitoooo aisee walikwenda na mpira muda wote walirejea nyuma kusaidia beki na hakuna hata kona au mpira wa adhabu ulileta hatari...

Hii performance ilihitajika kurudisha monster mentality klabuni...

Tupo nafasi ya 8 sasa. Tusonge mbele kuisaka big 5 aafu hio big 4 tutajua huko mbeleni.

View attachment 2389701

YNWA
Tutafika tu angalau rotation inayofanyika inatusaidia hivyo hvyo kibishi ..
Muda wa kuchanganya nasi tutachanganya tu..

Ni Klop kumuweka sawa Nunez na Salah wakielewana tu vizuri huko mbeleni ni balaa..Maana Boby tunaijua shughuli yake!..tuna Diaz na Jota wote wapambanaji..

Wanaopangwa winger ndo wanakazi ya kutokoa kwenye msimu huu manake mdogo wetu ndo kashasema hivyo
Screenshot_20221017-073545_1.jpg
 
Wamuache kabisa mtoto wa watu
Anafanya kazi ngumu huku wengine wakila bata
Tutafika tu angalau rotation inayofanyika inatusaidia hivyo hvyo kibishi ..
Muda wa kuchanganya nasi tutachanganya tu..

Ni Klop kumuweka sawa Nunez na Salah wakielewana tu vizuri huko mbeleni ni balaa..Maana Boby tunaijua shughuli yake!..tuna Diaz na Jota wote wapambanaji..

Wanaopangwa winger ndo wanakazi ya kutokoa kwenye msimu huu manake mdogo wetu ndo kashasema hivyo View attachment 2389728
 
Tobaaaa
Safari bado ndefu lakini tumo tupo nyuma ya timu tumeipenda wenyewe hii hakuna namna kwa mara ya kwanza msimu hui nimeona Liverpool ninayoijua mimi...wachezaji jana hawakua wazitoooo aisee walikwenda na mpira muda wote walirejea nyuma kusaidia beki na hakuna hata kona au mpira wa adhabu ulileta hatari...

Hii performance ilihitajika kurudisha monster mentality klabuni...

Tupo nafasi ya 8 sasa. Tusonge mbele kuisaka big 5 aafu hio big 4 tutajua huko mbeleni.

View attachment 2389701

YNWA
Tupo madonge kuinama

Kweli maisha yanabadilika
 
Trust me Nunez sio mbovu kiasi hicho, he is quick na ana nafasi ya kufanya vizuri, msimu huu 15+ goals atafunga...

NB: Arsenal fan kindakindaki
100% kijana mdogo na atajifunza ana muda ila unamuona anajuwa mpira ana vitu ni muda tu ayakuwa key player tukumbuke hata kina Gomez wamewahi kuwa na mechi mbaya sana na tukawa tunasema huyu hatufai lakini leo tunampa sifa tumesahau ya nyuma hata Mo tulishaanza kumsema lakini leo tunabadili mawazo. Nunez naamini kabisa kama sio msimu huu huko mbele ni asset kubwa tu najuwa watu wanaongelea bei lakini siku hizi hizo ndio bei hata Man u wamenunua wachezaji wa kawaida tu hawamfikii kabisa Nunez kwa bei kubwa sana tu lakini mambo ya bei sio muhimu hapa kikubwa je mchezaji ni ana potential? yes na atakuwa na team ana miaka 22 tu mdogo na yuko nchi lugha tu bado anajifunza na kujuwa mazingira mwaka mmoja atakuwa level kubwa tu mimi na muamini sana tu na kuthibitisha hilo UEFA na Benfica hata Jota wakati tunamnunua hakuna aliyetegemea hata Firminho alipokuja lakini leo wako wapi.
 
Kubwa jinga la Mwaka

Kikosini yupo Milner ila tumewatandika.

Ila sisi ni wanaume..Kama huamini nendeni na nyie chelshit mkajaribu kumfunga City
Sasa kma nyie kuku muna kideri mumeshinda ..sisi tukiweka fulu mkoko hakuna kima atachomoka.😂😂😂
 
Tutafika tu angalau rotation inayofanyika inatusaidia hivyo hvyo kibishi ..
Muda wa kuchanganya nasi tutachanganya tu..

Ni Klop kumuweka sawa Nunez na Salah wakielewana tu vizuri huko mbeleni ni balaa..Maana Boby tunaijua shughuli yake!..tuna Diaz na Jota wote wapambanaji..

Wanaopangwa winger ndo wanakazi ya kutokoa kwenye msimu huu manake mdogo wetu ndo kashasema hivyo View attachment 2389728
Ishu inayonistua kwa mbali nii hii ya Klopp kua risk taker na usajili kwa mfano huyu dogo Konate ilikua well documented ana goti lenye shinda same case Ox na Thiago matatizo yao ya majeruhi yalijulikana.

Nadhani kwenda mbele kuwe na mabadiliko namna gani ya ku profile hawa wachezaji kama wanakuja kua tegemezi klabuni... Otherwise tutazidi kua wasidikizaji kwa wengine kua bora sie tukijichungulia waleee... Hivyo ni rasmi June 2024 itakua dirisha la kufanya clearing ya nguvu sana maana haya maisha ya nafasi ya 8 tulisahau long time hatuhitaji kurejea huko kamwe...

Pale mbele nina imani tupo kwenye mikono salama kabisa Salah, Nunez, Jota, Lucho, Fabio, 'Muloswki', Elliott na Bobby.

Ishu inayotugharimu sasa ni hatutumii ile front line kama 1st line of defence lakini pia Mfs wanachelewa ku track vyema mashambulizi especially kwenye kaunta.

Wengi wamejaribu kutoa picha haswa nini kimetukuta Liverpool.
*umri unatajwa kua kikwazo kucheza pressing game.
*majeruhi pia.
*kutosajili MF muda sahihi.
*wachezaji kuchoka akili kwa kukosa ubingwa wa EPL na UCL msimu uliopita. Msimu uliopita Liverpool ilicheza gemu 63 bila kuhesabu mechi za Kimataifa kwa wachezaji hivyo hawa jamaa wapo hoi sana na kwa kuzingatia kulikua na mapumziko mafupi nk zimechangia parefu.

* kumwachia Mane nayo inasemwa imechangia sababu kaodoka akiwa na mpira mwingi tu.

*lakini pia usajili safi kabisa kutoka kwa Arsenal, Manchester City na Tottenham imechangia kuimarisha ushindani wa ligi kule top.

*nk nk nk nk.

YNWA
 
Kwahiyo Nunez tayar Ni flop..

Kwahiyo kusaidia Liverpool kushinda goli nyingi ameshindwa Halaand kuifunga Liver Mara 2 Sasa kwenye game muhimu na beki zilizochoka naye tumuite mchezaji wa kawaida !?

Kuna timu EPL inatengeneza chance nying za kufunga zaidi kila game zaidi ya Man City!?

View attachment 2389714
Sina shaka na Nunez. Kwa umri wake na chini ya Klopp atakaa sawa tu.

Klopp amwamini na language barrier kadri anavyozidi kujua kingereza atazidi elewa ni muda tu huyu dogo ana goli 15+ msimu huu.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom