Umkubali ili iweje yaan??Huyo dogo takataka, si mshabiki wa LIverpool lakini ameniuzi Nunez sidhani kama nitakaa nimkubali
Our standards are so high that we are not allowed to give an average performanceLiverpool mbovu anampiga city mechi mbili mfululizo.. Liverpool mbovu inapiga mtu 7 champions League.....hatari sana

Wahuni sio watu wazuri , leo wamenikamatia huyu kenge 😁😁😁😁
Halafu hapo bado kuna watu watamuita mchezaji, hakuwa na presure yeyote ile ila akaamua tu kujipigia na wenzake wawili wote wako onside
Gomez leo anahitaji pongezi, kamuweka chini ya ulinzi huyo dogo anayeidhalilisha EPL
Halafu hapo bado kuna watu watamuita mchezaji, hakuwa na presure yeyote ile ila akaamua tu kujipigia na wenzake wawili wote wako onside