Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Nilitaka nikuite sasa hiviAise kuku ongereni kwa kumla kimasikhara yule man shitye![]()
Nikataka niulize kuwa hivi Ollachuga hatuoni jamani
Nilitaka nikuite sasa hiviAise kuku ongereni kwa kumla kimasikhara yule man shitye![]()
City tulieni na Jini wenu leo
Hii 'muvu' naamini vibanda umiza kote walimnyooshea nunez alipo mwenzake.... maana nilipokuwepo mkono hewani halafu sauti ikarindima tu 'hukuuuuuuuuu'
Nilisema wakat Ligi inaanza huyu Ni mchezaj was kawaida , Liverpool wamecheza kamari ,kuna KULIPA au ikala kwao,Halafu hapo bado kuna watu watamuita mchezaji, hakuwa na presure yeyote ile ila akaamua tu kujipigia na wenzake wawili wote wako onside
Arsenal anaenda kuwala mablauzi November 6 ili kidomodomo kikuishe.Sasa ikawaje mukaliwa kiboya boya na wale arse8 aise😭😭😭
Angepiga akafunga wote tungemsifu kuwa ni mwamba.
Trust me Nunez sio mbovu kiasi hicho, he is quick na ana nafasi ya kufanya vizuri, msimu huu 15+ goals atafunga...Nilisema wakat Ligi inaanza huyu Ni mchezaj was kawaida , Liverpool wamecheza kamari ,kuna KULIPA au ikala kwao,
Ni mchezaji aliyefanya vzr msimu mmoja hivo Ni one season wonder
Fikiria angekuwa hizi timu zinatengenezwa nafas chache
Hapo yupo Liverpool wanamtengenezea a lot of chances
Sijasema mbovu nimesema ni mchezaji wa kawaidaTrust me Nunez sio mbovu kiasi hicho, he is quick na ana nafasi ya kufanya vizuri, msimu huu 15+ goals atafunga...
NB: Arsenal fan kindakindaki


Am here... Woow.. Shout out to young Elliott alielewa vyema majukumu yake. Kasaidia sana pale kwa Milner.
Jota dedication is class act. Boy was everywhere, he has learnt from Bobby and getting more better, quick interlink, defensive n offensive attitude is miles apart.. Whats a boy... He is ready to wear Bobby shoes with a smile... May he get better we need his energy...Let's give praise where praise is due
Milner had a good game
Van Dijk gave us what we always expect from him
Elliott did his assignments well to cover the space when man City were attacking
Salah is who he is (he might miss a chance or two and also he might give you a win at any moment)
Jota missed some chances but he is good in winning the ball and also he has been great offensively
Man shitye kubwa jinga tu ..na mkosi wote ule alonao eti anapigwa na hii liverpool yenye najeeuhi wa kutosha. Kweli klopp mkehuri huyu jamaa.Nilitaka nikuite sasa hivi
Nikataka niulize kuwa hivi Ollachuga hatuoni jamani