Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pepo lilikuwa Anfield leo, ni maombi tu yalifanyika akashindwa shetani
Salah walikuwa wamtoe by mistakes, asingeingilia kati Klopp sijui ingekuwaje
Baada ya dk 3 za kumrudisha Salah ndani ya uwanja akafunga goli la ushindi kwenye safari hii muhimu ya majogooo kurudi kwenye top 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom