Ngapi ukoTutajipigia bao za kutosha
Na bdo game inaendelea [emoji23]9 na hatrick 2...
Wamechoka wanatumika mno [emoji23][emoji23][emoji23]kuna majeruhi sawa ila hata waliopo uwanjani wameflop
Utitiri ushawaingia tayari hawa kuku
Ndo zake we ngoja akokwe la pili huwa anatamani hata kurusha ngumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1552] [emoji1552] [emoji1552] Klopp mbona kama ana paniki sana.
YNWA
Sidhani kama ana on target hata moja mpaka dakika hii ya 58.Ndo zake we ngoja akokwe la pili huwa anatamani hata kurusha ngumi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kosa Kubwa tulilofanya ni kumuongezea mkataba mnono salah na wakati tuliona dalili mbaya Feb to May last season. Na Leo anatembea tu uwanjani.