Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Ulisikia sisi tunataka makubwa jinger?ππππππTuwape Tuchel mtupe Klopp?
Tuwape Babu Milner bure kabisa maana hamna wafungaji huko Chelshit.
Ulisikia sisi tunataka makubwa jinger?ππππππTuwape Tuchel mtupe Klopp?
Tutajipigia bao za kutoshaUshindweeeee.....
Bila Saint hawa jamaa ni wepesi kama unyoya...
YNWA
Hapo gomez ndiye yupo level ya chini wengine wana motoooo
Umeachana na Chelshit sasa..Hivi Soton unawajua vizuri wewe? Je Nu Casto utamuweza?.
Kila la kheri chama langu Nu Casto..

Angemuweka Konate au Matip.Hapo gomez ndiye yupo level ya chini wengine wana motoooo
In Mane we Believe.Hahahaha muda hua haukosei cha msingi ni subira tu.
Tazama gemu yao na Barcelona Hahaha kama namuona Mnyamwezi akifanya jambo lake
YNWA

Halland saiv anagoli 8, sasa Nunez wetu mpiga vichwa sijui akirudi itakuaje
![]()
Damu ya Malkia ni ghali sana.Binafsi naona wachezaji wote waliouziwa bei juu ya bei ya Halaand...bei ilikuwa overpriced...yaani Grealish bei yake juu ya Haaland? overpriced kabisa
Haaland kaja kutuharibia ligi.
Klopp kusaka kwake kooote akamuona mr ma tatoo, mpiga vichwa nunez kwa bei ya juu kabisa, mtu hajaprove hata misimu miwiliHaaland kaja kutuharibia ligi.

Yaan mimi nashindwa kuelewa yaani unamuacha halaand 45m unachukua nunez 100m daaah...Klopp kusaka kwake kooote akamuona mr ma tatoo, mpiga vichwa nunez kwa bei ya juu kabisa, mtu hajaprove hata misimu miwili
kipindi halaand yupo salzburg klop yeye jicho lake likamuona Minamino
ajabu sana hii


