Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe unaweza kufunga 9 bila?
Hizo 9 zenu leo zinawatokea puani.
Baada ya kichapo heavy kutoka kwa Allan Mtakatifu Maximin mtakuja humu kuanza kumtukana Kopo (Klopp) kwa kung'ang'ania kuwachezesha maajuza wa kiingereza.

Prediction
Nyukesto 4 - 1 Liverfool.
Screenshot_20220831_164648.jpg
 
Nisipomuona nitauliza mara 2 kuwa jamaa mbona simuoni jamani au tumekosea mlango?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimefurahi kule alipo hajawa flop kama akina Coutinho, Gini nk angalau sasa huu mjadala kwamba Klopp ndio alikua ananfanya ang'ae umezimwa mazima na sasa dogo yupo motoooo sanaaa hapoi....

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom