Inabidi lipite fagio pale Liverpool wachezaji wote wasiocheza gemu 25 kwa msimu wauzwe tu kwani wanaturudisha nyuma 😂😂😂na Matip yumo humo.😂😂😂
Kama nimeshindwa kuhama na Mane sidhani kama naweza kuhama na mtu mwingine😂😂😂😂😂
Ila Joel anapelekaga sana Mpira mbele,na ile body yake ilivyojengeka hadi sasa sipati majibu kwanini anaumia.
Matip wangu hayumo kwenye hilo kundi jamani😂😂💔Inabidi lipite fagio pale Liverpool wachezaji wote wasiocheza gemu 25 kwa msimu wauzwe tu kwani wanaturudisha nyuma 😂😂😂na Matip yumo humo.
YNWA
Uchawi upo akiyanani 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂Ukiwaza haya mambo hii timu inaweza kukutoa jasho ujue yaaani...
Keita, Ox, Henderson, Milner walikua wanakula mshahara mkubwa kuliko Gini na Mane aafu ndio wa kwanza kuumwo na ku out form Liverpool yaaani hua nasema duniani bahati zipo.
YNWA
😂 😂 😂 Sijui huko mazoezi gani jamaa wanafanya mpaka kuumia vile yaaani haya mambo yakutegemea lady luck atupe ushindi tuseme hapana maana msimu huu tuna hali ngumu sana imagine tumetanguliwa kupigwa goli kila mechi yaaani mabeki hawana ushirikiano lini acheze offside trick yaaani tumo pambaya sana.Bora ya matip hata umesema msimu ulipita alikuwa fit muda mrefu lakini hao wengine keita na Ox yaani hapo hakuna msimu wamecheza hata mechi 25.wanakula mishaara ya bure kabisa.
Muda mwingi wako nje,halafu wanaumia kwenye mazoezi tu sio uwanjani,
Ni failed project hizo wanatakiwa waondoke haraka sana ndio maana kila timu haziwataki yaani kuumia kila siku.
Ila Ox kuna baadhi ya mechi huwa anawasha motoUkiwaza haya mambo hii timu inaweza kukutoa jasho ujue yaaani...
Keita, Ox, Henderson, Milner walikua wanakula mshahara mkubwa kuliko Gini na Mane aafu ndio wa kwanza kuumwo na ku out form Liverpool yaaani hua nasema duniani bahati zipo.
YNWA
Atasema Hotel aliyotaka kubook imewahiwa😂😂😂😂💔List of Klopp's excuses:
Heavy wind
Sun
Dry pitch
Clock
What is he going to blame next? FfsView attachment 2334209
😂😂😂😂😂Wakati Manchester City wanaachia wazee akina Kompany, Fernandidho, David Silva nk ambao ni kiwango kuliko Milner na Henderson huku Liverpool tunasema uzee maliUchawi upo akiyanani 🤣🤣🤣
Inasikitisha sana mkuu![]()
![]()
Sijui huko mazoezi gani jamaa wanafanya mpaka kuumia vile yaaani haya mambo yakutegemea lady luck atupe ushindi tuseme hapana maana msimu huu tuna hali ngumu sana imagine tumetanguliwa kupigwa goli kila mechi yaaani mabeki hawana ushirikiano lini acheze offside trick yaaani tumo pambaya sana.
Kuhusu hawa wagonjwa kuuzwa naona mpaka sasa dirisha linakaribia kuishia na hakuna biashara japo Kieta anasemwa semwa kutaka kusepa RB Leipzig na Klopp anakomaa dogo abaki yaaani ndio ujiulize anamtaka wa nini.
YNWA
Kipaji cha Ox sina mashaka nacho lakini awe mzima sasa yaaani...Ila Ox kuna baadhi ya mechi huwa anawasha moto
Huku tunamuongezea Milner mkataba huku tukimpa Le Captain Hendo mkataba wa maisha na kumuanzisha kila mechi.😂😂😂😂😂Wakati Manchester City wanaachia wazee akina Kompany, Fernandidho, David Silva nk ambao ni kiwango kuliko Milner na Henderson huku Liverpool tunasema uzee mali
Liverpool ni kichaka cha wazee kupiga ela 🤓🤓🤓
YNWA
Halafu kizazi kijacho tumekisahau kabisa yani cheki city anavyoandaa missilesWakati Manchester City wanaachia wazee akina Kompany, Fernandidho, David Silva nk ambao ni kiwango kuliko Milner na Henderson huku Liverpool tunasema uzee mali
Liverpool ni kichaka cha wazee kupiga ela
YNWA
Ndio mjue Liver uchawi upo🤣🤣🤣Matip ni solid defender. Hao wengine ni failures, hasa hasa shambalaini anakula mshahara mkubwa tu wa bure. Eti shambalai anakula mshara mkubwa kiliko Mane. Are we joking?
Sisi bado tunasimama na HendoHalafu kizazi kijacho tumekisahau kabisa yani cheki city anavyoandaa missiles
Ila huyu baba akili zake anazijua mwenyewe 🙌List of Klopp's excuses:
Heavy wind
Sun
Dry pitch
Clock
What is he going to blame next? FfsView attachment 2334209
Kale ka msemo kao ka "IMAGINE BEING ASS" siku hizi sikasikii tenaHamjakaa Sawa makundi ya uefa hayo hapo kazi kupiga punyeto tu makombe yanaenda kwa wengine liverpunga miaka 30 EPL moja hii timu au laana fc![]()





Wewe nyumbu kaa kwa kutulia.,... Timu yako imepangwa kundi gani?Kale ka msemo kao ka "IMAGINE BEING ASS" siku hizi sikasikii tena![]()
Klopp ni muumini wa kutumia wachezaji wale wale mpaka itokee majeruhi ndio utaona heee kumbe Phillips bado yupo Liverpool au Gomez nk...Halafu kizazi kijacho tumekisahau kabisa yani cheki city anavyoandaa missiles
Huyu kocha ndio maana wazazi wake walimuita KOPO kilichobaki ni kumtafutia mfuniko tu.List of Klopp's excuses:
Heavy wind
Sun
Dry pitch
Clock
What is he going to blame next? FfsView attachment 2334209