Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ama kweli wewe ni mbuzi unasema ratiba kupendelea timu,Palace kapigwa na Arsenal akaja kudraw na Liverpool,Fulham kadraw na Liver anaenda kukutana na arsenal...acheni kukariri nyie

Mkuu tusubirie baada ya mechi 19 kama arsenal atakuwa juu pale kama sasa hivi?

Umeanza kuangalia mpira lini wewe? Miaka yote tu hamjifunzi?

Hata mwaka jana arsenal baada ya mechi 3 mlikuwa na points ngapi kama sio zero kwa nini? Kwasababu mlipewa ratiba ngumu lakini mwisho wa msimu mmemaliza nafasi ya 5, kitu ambacho watu hata kwenye hiyo nafasi ya 5 watu waliwatoa.

sina wasiwasi na Liverpool kabisa ila arsenal kuchukua ubingwa hapana eti kisa mechi tatu hizo kuongoza ligi yaani ataongoza ligi kuanzia sasa hivi mpaka mwisho wa ligi yaani hata hamuwazi vitu kama hivyo.

Jesus akiumia tu hapo mtaanza kuwa wapole hizo ni mbio ndefu
 
.
255656270933_status_62318cbcac734c94b13a4c2a47d5b020.jpg
 
Ati pure Japanese biscuits😂😂😂😂😂😂😂
Vile niko na mahaba naye,I want him to stay 🤣
Sitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...

Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae 😂😂😂😂

Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.

Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..

Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...

YNWA
 
Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae

na highline pia, magoli mengi tunafungwa counter kina vvd wakiwa mbali kabisa na kipa, na vile umri umeenda hawawezi kukimbizana na kina zaha
 
Sitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...

Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae

Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.

Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..

Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...

YNWA

Bora ya matip hata umesema msimu ulipita alikuwa fit muda mrefu lakini hao wengine keita na Ox yaani hapo hakuna msimu wamecheza hata mechi 25.wanakula mishaara ya bure kabisa.

Muda mwingi wako nje,halafu wanaumia kwenye mazoezi tu sio uwanjani ,

Ni failed project hizo wanatakiwa waondoke haraka sana ndio maana kila timu haziwataki yaani kuumia kila siku.
 
Eti wanaumia kwenye mazoezi🤣🤣🤣
Jamani😂,mnawaonea sasa

Ila Keita Kuna mechi huwa anaupiga mwingi na mnaanza kumsifu hapa kuwa combination ya Keita na Thiago ni nzuri.
 
Sitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...

Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae 😂😂😂😂

Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.

Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..

Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...

YNWA
😂😂😂
Kama nimeshindwa kuhama na Mane sidhani kama naweza kuhama na mtu mwingine😂😂😂😂😂

Ila Joel anapelekaga sana Mpira mbele,na ile body yake ilivyojengeka hadi sasa sipati majibu kwanini anaumia.
 
Sitegemei kuona Matip, Ox, Keita wakipewa mikataba mipya Liverpool itakua matumizi mambaya sana ya resources...

Wewe na Matip wako fresh tu utahama nae 😂😂😂😂

Kikosi kiduchu aafu kimejaa wagonjwa tele asa unadhani nini kitatokea mbeleni huko kama sio vipigo.

Kieta failed project..
Matip ni gambling hujui ni wakati gani atakua fit angalau last season.. alikomaa..
Ox duh dogo kipaji lakini yupo softiiiiiii mno..

Kwa sasa tunahitaji Fabinho arejee uzima wake asilimia 100 na Jota apone tuone sasa Klopp atasingizia nini tena...

YNWA
Matip ni solid defender. Hao wengine ni failures, hasa hasa shambalaini anakula mshahara mkubwa tu wa bure. Eti shambalai anakula mshara mkubwa kiliko Mane. Are we joking?
 
Klopp msimu huu mbona akijichanganya ataelewa mashabiki hawana uvumilivu na bora mwenyewe alishajitoa kwenye mitadao ya kijamii maana huko kuna balaa.

Ukijiuliza kweli ule mshahara wa Milner hupati mchezaji mwenye umri wa chini kutoka Ureno, Ufaransa, Uhispania nk au ni kiburi cha Klopp kutaka kuonyesha wengine yeye hapangiwi...

YNWA
Klopp tunampenda ila sometime huyu mzee anatupanga sana, hivi unawezaje kumuachia Gini kirahisi alafu unaenda kulia na ma yankees yamuongezee milner mkataba ili tupate mido ya milnerson
 
Nyie majogoo yenye utitiri. This time uefa mtashika mkia.

Imagine tukimuacha Ajax na Napoli huyo Rangers tu atakutoa jasho. Nipo paleeee.
 
Hamjakaa Sawa makundi ya uefa hayo hapo kazi kupiga punyeto tu makombe yanaenda kwa wengine liverpunga miaka 30 EPL moja hii timu au laana fc
 
Klopp tunampenda ila sometime huyu mzee anatupanga sana, hivi unawezaje kumuachia Gini kirahisi alafu unaenda kulia na ma yankees yamuongezee milner mkataba ili tupate mido ya milnerson
Milnerson katika ubora wao rocking the boat haha in da coast side yaaani tuwe na matarajio kiduchu sana msimu huu maan gemu ya 3 na zote tumetanguliwa kufungwo na tofauti na msimu uliopita ambapo tulikua come back kings msimu huu sioni hata likitokea tena hilo...

Gini alitumika out of position muda mwingi Liverpool lakini alijitoa kama vile kila gemu ni gemu yake ya mwisho huku wengine Ox, Milnerson, Kieta wakiwa wodini ajabu sasa alivyodai pound for pound pay akaambiwa hastahili huo mshahara tetesi dogo alitaka angalau apewe £130k to 160k kwa wiki maana kipindi kile alikua anachukua around 900k kwa wiki matokeo yake mpaka sasa pengo lake lipo wazi hatuna tena kilaka pale kati kwani hata Fabinho majeruhi hayamchezi mbali...

Klopp anajipendekeza sana kwa hawa Waingereza hana kifua kuwatia benchi kwa manufaa mapana ya timu hilo time and time again ameshindwa.. Ni tatizo kubwa.

YNWA
 
Matip ni solid defender. Hao wengine ni failures, hasa hasa shambalaini anakula mshahara mkubwa tu wa bure. Eti shambalai anakula mshara mkubwa kiliko Mane. Are we joking?
😂😂😂😂😂😂😂Ukiwaza haya mambo hii timu inaweza kukutoa jasho ujue yaaani...

Keita, Ox, Henderson, Milner walikua wanakula mshahara mkubwa kuliko Gini na Mane aafu ndio wa kwanza kuumwo na ku out form Liverpool yaaani hua nasema duniani bahati zipo.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom