Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,551
- 10,802
Haya ni maoni yangu kwa kuangalia. Mara kadhaa tukio kama hilo limeitwa offside na var.Waswahili banaaaa wanataka wabishane mpaka na VAR.
Haya tufanye ni Offside Man 1-1 Liverpool umesharidhika?
Wewe takataka Mimi nawa sapoti ili mushinde angalau mupate kaushindi Cha kwanza ..halafu Kuna mbanga mmoja kaa wewe unapita pita na kanga yako moja imelowana unatingisha wowowo tu..Hii game ya leo ishakua nuksi tayari, mtu jana katoka kugongwa goli 3 kwa nunge halafu hata hajaoga anaanza kukukumbatia na mijanaba yake.
Hakuna kheri kwenye kufungwa wewe kuku..😂😂😂🤣🤣Mi Kiukweli Leo Nipo Mweupe Sina Nnachotarajia cha Ajabu Tukishinda Kheri tukifungwa Kheri Pia.
Hatujasahau, malipo ni hapa dunianiSijaelewa kwanini hii haikuwa offside.
Hawa kuku wenye mdondo walitukejeli sana kwenye hili. Now wakae kwa kutulia.Waswahili banaaaa wanataka wabishane mpaka na VAR.
Haya tufanye ni Offside Man 1-1 Liverpool umesharidhika?
Itoshe kusema KLOPP Anabet sio Bure 🤣🤣🤣🤣HONGERA MANCHESTER CITY KWA KUSHINDA LIGI (EPL) MSIMU WA 2022/2023.
Tuliobakia turogane kwenye Top Four.
Sasa nirudi na KING NGWABA kwa ajili ya Vita na Klopp! Hawezi kutuchezeshea genge lake la kina Milner nikamuangalia tu hata siku moja.
WachaaaaSimple basic virtues za mchezaji ni accuracy ya pass, maintain possession, lakini mpaka sasa tumo tumo tu....
Manchester United mkitushindwa leo mjue hii nafasi hazitokei kila wakati,
YNWA