Hii game ya leo ishakua nuksi tayari, mtu jana katoka kugongwa goli 3 kwa nunge halafu hata hajaoga anaanza kukukumbatia na mijanaba yake.Leo tuko na chama letu manjestaa![]()
Nimekicheki....ila wameweka yule mburula wao Maguire so haina shidaCha Manure umekiona lakini?![]()
Magwaya akiingia atawasaidia forward wetu.Nimekicheki....ila wameweka yule mburula wao Maguire so haina shida
Kwa ubishi wa klopp mtapewa mimba ya mapacha wa 4We are Liverpool
Man U wameanza kwa kasi lkn Klopp is there.
In Klopp we trust
Safi sana Man u,nasema tufungeni hata 10 labda Klopp atapata kiburi kiishe.maana ana kidada sana
Kwa ubishi wa klopp mtapewa mimba ya mapacha wa 4
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Subiri uone Manchester United anawasumbua namna hii viwete hawa game ya 3 hamjashinda may be mtashinda subiri uone ukikalia motoKabishia nn?
tunaendelea kuhesabuKlopp has some balls.. Yaaani Milner, Elliott na Henderson ugenini Old Trafford....
Haya ngoja tuone....
YNWA
Tuelewane Klopp hapangiwi 😂😂😂You guys are joke. Hili dirisha likiisha hamjafanya chochote msianze kutafuta mchawi.