Hawa ndugu zetu bhana... Huu msimu wawe chonjo.Unafugwa na timu kepteni wake ni MAGUIRE![]()
Simple basic virtues za mchezaji ni accuracy ya pass, maintain possession, lakini mpaka sasa tumo tumo tu....tunaendelea kuhesabu
Mi Kiukweli Leo Nipo Mweupe Sina Nnachotarajia cha Ajabu Tukishinda Kheri tukifungwa Kheri Pia.
Humo tuna mazee mawili ya kiingeleza bure kabisaHawa Middle wanawachosha tu mabeki na ma -forward wetu,hawana lolote LA maana wanalofanya humu.
Yaan anauzi kugoma kununua au mameneja ni mabahir??Safi sana Man u,nasema tufungeni hata 10 labda Klopp atapata kiburi kiishe.maana ana kidada sana
Kweli....ukweli mtupuYou guys are joke. Hili dirisha likiisha hamjafanya chochote msianze kutafuta mchawi.
Kweli asilimia 1000%liver kuna wachezaji hawapaswi kuwepo ila huyu kocha ana kiburi sana
milner
keita
ox
adrian
firmino
na bado unataka kushindana na city kwa timu hii
Umeona Nawe Ni Anacheza Rafu Hatari.Hivi huyu Milner hua haumiagi bora angeingia Bajetic maana huyu babu anaweza kula umeme....
YNWA
Hivi huyu Milner hua haumiagi bora angeingia Bajetic maana huyu babu anaweza kula umeme....
YNWA