Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Msimu huu mnatakiwa mfanye expectations zenu ziwe lowHey kops, salam.
Leo usiku tuna sababu kama 4 hivi za kuwatandika united.
1. Kupata ushindi wa kwanza msimu huu wa 2022-20-23.
2. Kurudisha ile winning mentality ya msimu uliopita.
3. Kupunguza gap dhidi ya city ( sio kina Aseno na spurs) maana sio washindani wenzetu. Ref city kadondosha point 1 jana.
4. Kuwapiga united wapinzani wetu kwa Uingereza.
5. Kuwapa furaha wapenzi na washabiki kite duniani.
Chriss Sutton, bbc pundit anasema pamoja na liverpool kuwakosa wachezaji wake bora lakini haoni ni kwa namna gani wataepuka kipigo pale OT. Katabiri game itaisha kwa ushindi mnono wa liverpool wa 5-1.
Mimi natabiri tutapata ushindi wa goals 2-0.
Poleni sana livapunyeto...hΓ di nyumbu wamewapita sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima niipambanie timu kiume huko nje
Lakini humu huwa tunasema siku zote kuwa tutapigwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
By the way Darwin ain't the missing puzzle rather than the pedestrians MF ya wazee wetu,they rarely raise to th3 occasion when needed tazama leo Anorld na Robertson wamebanwa haswa hivyo ilikua zamu ya MFs wafanye creation lakini kama kawaida wapo wapo....Mm mwenyewe nilishindwa kuelewa unamuacha haalan wa bei chee unaenda beba kinda lisilo na uzoefu kwa $ dola almost 100m plus add on's....daaah
Lilikuwa swala la Muda tu GGMU[emoji83][emoji83]Leo ndo tunazindukia kwenu aise lazima bora hafe mtu pale lakini sio mtufunge.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenge la darajani limeshaanza kuweweseka.Tafadhali mkishinda usije usije jukwaani kwetu kusumbua.
Maana hauna kwingine kwa kwenda.
If you think this is offside kumbuka ileeeee ya Lukaku halafu.kaa kwa kutulia. Hatujasahau
ππππHey kops, salam.
Leo usiku tuna sababu kama 4 hivi za kuwatandika united.
1. Kupata ushindi wa kwanza msimu huu wa 2022-20-23.
2. Kurudisha ile winning mentality ya msimu uliopita.
3. Kupunguza gap dhidi ya city ( sio kina Aseno na spurs) maana sio washindani wenzetu. Ref city kadondosha point 1 jana.
4. Kuwapiga united wapinzani wetu kwa Uingereza.
5. Kuwapa furaha wapenzi na washabiki kite duniani.
Chriss Sutton, bbc pundit anasema pamoja na liverpool kuwakosa wachezaji wake bora lakini haoni ni kwa namna gani wataepuka kipigo pale OT. Katabiri game itaisha kwa ushindi mnono wa liverpool wa 5-1.
Mimi natabiri tutapata ushindi wa goals 2-0.
Nyinyi.bado.ni nyumbu leo.mmeliotea jogoo lenye utitiri mnapiga kelele, Subirini tuko hapahapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenge la darajani limeshaanza kuweweseka.
Mwambieni Koloboi-Kalabai asiwe na wasiwasi Maguire yupo njiani anakuja kumsaidia kuimarisha safu ya ulinzi.
Sijaelewa kwanini hii haikuwa offside.
Waswahili banaaaa wanataka wabishane mpaka na VAR.Sijaelewa kwanini hii haikuwa offside.