Kuondoka tu kwa Mane timu limepoteza mvuto kabisaaaa.Yaani kutoka kwenye peak last season..tulikuwa team ya kuogopeka..
Sasahivi tunakuwa timu ya hovyo.
anatia kamba kila baada ya dk15 jamaa ni zaidi ya Ronaldo na MessiVipi huko Nunez anaendeleaje maana siangalii mpira.
Nadhani Luis kiazi amekujibu vyemaKuondoka tu kwa Mane timu limepoteza mvuto kabisaaaa.
Mane alikua ni zaidi ya mchezaji hapo Liverpool.
Tuone huyo Luis Kiazi na Manunu watawafikisha wapi bila ya uwepo wa mwamba Sadio Mane.



this is epl ,..!