Mtakatifu Anne ni bora wewe umetambua mapema, palace wanawaacha mkate mauno yenu then wao wanapiga counter mpira ukimfikia Zaha ubao unabadilika namba automatically.Yaani kwa kikosi cha kina Ox na Keita..hakuna pira litapigwa hapo.
Huku ni mwendo wa kuombeana njaa tu.Uzuri wa hizi timu zenye majina makubwa Chelsea, NYUMBU, AseNANE, Man shit na LiverPUNGA mmoja akifugwa basi mashabiki wa timu zilizo baki wote wanavamia uzi wa timu husika iliyo chezea kipondo.
Nilisema mimi laana ya Mane itatufunaMtakatifu Anne ni bora wewe umetambua mapema, palace wanawaacha mkate mauno yenu then wao wanapiga counter mpira ukimfikia Zaha ubao unabadilika namba automatically.
Liverkuku attempts 18
Shoot on target 2
Goli 0
Palace attempt 1
Shoot on target 1
Goli 1
Viera leo amekusudia kupasua glopu (Klopp).
Laana za Sadio Mane zitasababisha liverkuku wanakosa mpaka top 4 msimu huu.
Uzuri wa hizi timu zenye majina makubwa Chelsea, NYUMBU, AseNANE, Man shit na LiverPUNGA mmoja akifugwa basi mashabiki wa timu zilizo baki wote wanavamia uzi wa timu husika iliyo chezea kipondo.




Yaani kutoka kwenye peak last season..tulikuwa team ya kuogopeka..Huku ni mwendo wa kuombeana njaa tu.
Liverfool ya msimu huu haina tofauti na Asaniwali ya mzee Wenger.
Ikiwezekana tuchapwe sana labda klopp akili itamrudiaLeo mnagogwa hapo hapo Anfield
Hata mmNina muda sijaona mchezaji wa Liverpool anapewa redcard,


