Firmino kwa sasa sio chaguo la kwanza na uwezo wake umeshuka kidogo.
Next game Midfielders ni MILNER-HENDO-CAVALHO
Hapo kwanza nicheke tu
Misfiled eneo hili ni kilio
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kwa hio Klopp anatafuta headlines kwamba alishinda EPL 2022 2023 akiwa na MF pedestrian na nusu ya msimu hao MF wakiwa Male ward kwa Andrew Massey.Nimekuja kwenye conclusion baada ya kuwaza na kuwazua kwa mda mrefu, msimu huu ukiwa mbaya ni Klopp kajitakia mwenyewe, maana since Preseason alisema hasajili na pengo la midfield lilionekana wazi, kaumia ox, kaumia thiago mzee bado anakomaa hasajili sio kwamba kanyimwa fungu hapana ni yeye anasema alionao wanamtosha. On this FSG can sit out. Lets see how Klopp will emerge as a winner on this one, i wanna see how this play out.
TantaLiLaH Kim ya a mamaEee haaLandAnaruka ruka tu [emoji1787]
Enhee VP gaP kapigwa nan tuLizaa ngengaa izooKwa uwepo wa Haaland City wanaonekana kama wapo pungufu ktk pitch....nafikiri wanahitaji muda zaidi ili kuswitch ktk mfumo huu wa natural9 washazoea kucheza na false 9 masikini.....
Na hapa ndipo watakapopigwa gap
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwa speed waliyonayo Spurs na Man City nija hakoka atatafuta Kiungo tu. Jana Man City wanafanya sub kama wako kwemye sherehe.....ni bonge la buffet. Katoa MD watatu kaingiza Watatu.😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kwa hio Klopp anatafuta headlines kwamba alishinda EPL 2022 2023 akiwa na MF pedestrian na nusu ya msimu hao MF wakiwa Male ward kwa Andrew Massey.
Klopp is just being stubborn anapenda sana kufanya kinyume na matarjio ya wengi..
Hili lipo wazi Fabinho is over used. Hao wengine hakuna mwenye uhakika wa kukupa unachotaka.
YNWA
Ox kaumia Anachezaga wapi?Nimekuja kwenye conclusion baada ya kuwaza na kuwazua kwa mda mrefu, msimu huu ukiwa mbaya ni Klopp kajitakia mwenyewe, maana since Preseason alisema hasajili na pengo la midfield lilionekana wazi, kaumia ox, kaumia thiago mzee bado anakomaa hasajili sio kwamba kanyimwa fungu hapana ni yeye anasema alionao wanamtosha. On this FSG can sit out. Lets see how Klopp will emerge as a winner on this one, i wanna see how this play out.
Hapana aisee mane alikuwa anawapa option nyingi
Nunez ashukuru Liverpool wanatengeneza chance after chance, ataokota magoli ,Ila Bado msimtegemee sana
Unamtukana nani ww mwehu?TantaLiLaH Kim ya a mamaEee haaLand
Mkuu Klopp ana pride moja ya ajabu sana...yaaani hua anakufa na tai shingoni lakini akikamatika hua anapoa kama maji ya mtungi kwa mfano Klopp huyu huyu aliwai kusema hawezi kununua mchezaji wa £80m nadhani ilikua kipindi Pogba ananunuliwa Manchester United kwa £89m, baadae Klopp huyu huyu akaja kumnunua VVD na sasa Nunez kwa bei za kutisha.. Hivyo huyu atapoa tu muda utasema tu maana ushindi wa pointi 3 ndio kazi yake pale maneno mengi wala hayana tija.Kwa speed waliyonayo Spurs na Man City nija hakoka atatafuta Kiungo tu. Jana Man City wanafanya sub kama wako kwemye sherehe.....ni bonge la buffet. Katoa MD watatu kaingiza Watatu.
Sijui kwa nini anaogopa kutanua kikosi na kapunguza wachezaji wa kutosha tu.i ubingwa kwa timu yenye majeruhi wa kudumu wa kiasi hiki hakuna. Tunapaswa kujipigia hizi midtable ili kupambana na wazee wenzetu.
City tayari kajichukulia ugenini point 3 kwa Hammers. Huyu huyu Hammers hutusumbua sisi, huenda tukaangusha alama kwake takribani 4.
Klopp njoo huku 😂😂😂😂😂😂Kuna muda mechi inaendelea Klopp amekalia kitu kama 1st aid kit hivi jekundu mfuniko mweupe, kainama mithili ya mtu anayewaza sana. Hope ilikua anawaza "yes i know i have weak midfield but how can i swallow my statements in a public about new signings"
Heheheh mimi nasubiri kuona hicho kiburi chake kitamfikisha wapi maana ni wazi kuna ombwe la midfield pale ila anajifanya anakomaa na hendo na thiago na keita ambao wao mda mwingi wapo wodini. Toa mpunga kachukue barella au frenki de jong huko hatakiwi halafu unatulia uone ndoo ya epl inakuja yenyewe pale anfield.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa hio Klopp anatafuta headlines kwamba alishinda EPL 2022 2023 akiwa na MF pedestrian na nusu ya msimu hao MF wakiwa Male ward kwa Andrew Massey.
Klopp is just being stubborn anapenda sana kufanya kinyume na matarjio ya wengi..
Hili lipo wazi Fabinho is over used. Hao wengine hakuna mwenye uhakika wa kukupa unachotaka.
YNWA
Tunategemea tena kucheza kwa miujiza, haya ngoja tuone.Na Thiago majeruhi na Klopp wala hana mpango wa kusajili aisee huyu Klopp hua namkumbali sana kwa misamamo tata maana unaacha kusajili huku pale kati pamejaa utopolo na wagonjwa yaaani hayaaaaaaaa.
YNWA
Si OllaChuga Oc alisema tumepigwa!Nunyez liverkuku mmepata mtu sana anajua kujiposition sana.
kuhusu huyu bwana ni tangu msimu uliopitaMkuu umeshuka kwenye mechi gani? Mechi na Fulham?
Au na mechi dhidi ya man city. Mchezaji gani hajawahi kushuka kiwango hapo epl?
Mashabiki wa Liverpool tumeanza kuwa wa hovyo siku hizi.
Maneno yote hayo kutoka na sare dhidi ya Fulham tu.