Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hili lipo wazi ndugu labda Klopp awe na silaha kutoka academy lakini kama ni hawa wa siku zote hakika haitakua business as usual.JAPO WANA LIVERPOOL WENGI MLINIKEBEHI, ILA NILIWEKA MTAZAMO KISOKA ,
HILI TATIZO NALIONA MBELENI LIKIWATOKEA , SABABU MNA MICHUANO MINGI , KIKOSI KIMOJA
VIUNGO WENU WAMETUMIKA SANA MSIMU ULIOPITA ,MMECHEZA MECH NYINGI SANA
Watu wanatucheka tunavyosajili mabeki tunamaana yetuNa Thiago majeruhi na Klopp wala hana mpango wa kusajili aisee huyu Klopp hua namkumbali sana kwa misamamo tata maana unaacha kusajili huku pale kati pamejaa utopolo na wagonjwa yaaani hayaaaaaaaa.
YNWA
Wanachangamoto pia kwenye safu yaya mabeki sisi tunavyosajili mabeki baadhi ya watu wanatuona sisi wajingaJAPO WANA LIVERPOOL WENGI MLINIKEBEHI, ILA NILIWEKA MTAZAMO KISOKA ,
HILI TATIZO NALIONA MBELENI LIKIWATOKEA , SABABU MNA MICHUANO MINGI , KIKOSI KIMOJA
VIUNGO WENU WAMETUMIKA SANA MSIMU ULIOPITA ,MMECHEZA MECH NYINGI SANA
Great Fergie alisema ukuta imara unakupa makombe na ukitazama alishinda EPL 13 pale Manchester United ni ushahidi tosha ni sahihi ukuta ndio nguzo ya timu kuleta ushindi.Watu wanatucheka tunavyosajili mabeki tunamaana yetu
Conte ana balaa hajaja kusidikiza huyu anataka ndoo msimu huu.Jamani ligi ndio imeanza... its sad fulham anawatoa jasho....
Niliwadhamini kwamba mna timu nzuri mmeanza kunipa wasiwasi.
Fanyeni usajili au mnipee Saint Anne
Acha niwaamini Totte. Only kwa sababu ya Conte na si vinginevyo.
Sisi the Blues tunaendelea kusajili vyuma...Kwahiyo Washindani Wetu wameanza kusema Marahii hatuna uwezo kisa Tumetoa sare na Fulham sio?
Hata Msimu uliopita kabla ya hata kuanza walisema tutapoteana.
Lakini leo nasema hapa wazi mwisho wa Msimu tutakaobakia ni Man City na Liverpool kukimbizana! Hao waliobakia wataishia kugombania Top Four tu.