Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee walichelewa kufunga kwa namna walivyoanza hii gemu naona wamejipanga kusaka pointi za kubakia Ligi Kuu maana kule Championship hamna mzaha..

TAA kwa mara nyingine tena anakosa instinct za kujua nini afanye na kwa muda gani.

YNWA
 
Huyu mtoto kukaba bado hajui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom